Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,906
30,248
SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014

Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu.

Kwa kuwa Sheikh Mselem alikuwa kifungoni nishani hii ilipokelewa na mwanae, Shaib Ali Mselem kwa niaba ya baba yake.

Nishani hii ilitolewa kwake na Sheikh Ahmada Kidege ambae na yeye sasa yuko jela kwa tuhuma za ugaidi.

Sheikh Kidege ni mja mwema na mwalimu wa madrasa na shule ya Chekechea ya Kiislam akisomesha watoto Qur'an Tukufu.

Tumwombee dua Allah amnusuru.
Amin

Screenshot_20210617-000432_Facebook.jpg
 
Attachments

  • VID-20210616-WA0295.mp4
    7.5 MB
Mzee Mohamed umesahau kutueleza yafuatayo:

(1) Aliyepewa nishani alikamatwa (kuwa kifungoni) kwa tuhuma au makosa yapi hasa?

(2) Aliyetunuku nishani nayeye amekamatwa kwa tuhuma zipi hasa?

(3) Unawezaje mpatia nishani tena kwa kigezo cha mchango wa kueneza Quaran mtu aliyehukumiwa kwenda jela? Unapimaje uadilifu wa huyu mtu na kuamua kumpa tuzo?

Naomba ufafanuzi
 
Mzee Mohamed umesahau kutueleza yafuatayo:

(1) Aliyepewa nishani alikamatwa ( kuwa kifungoni) kwa tuhuma au makosa yapi hasa?

UGAIDI WA WAZI KABISA

Hawa watu walizidi Uchochezi, Ugaidi na Chuki kwa Waislam na zaidi kwa Wakristo.

Walitaka kuanzisha dola yao ya kipumbavu eti wakawa na bendera nyeupe pee wakiipeperusha Zanzibar na Mombasa na pwani ya Kenya kwa ujumla na kutaka bendera ya Taifa Zanzibar ishushwe chini, eti wanaanzisha dola rasmi ya kiislam wakati Walikuwa wanawa attack Waislam pia.

Takataka kabisa
 
Nimesikiliza baadhi ya clip za huyu mtu, ni uchochezi uliopindukia kiasi kwamba akirudia huyu anatakiwa kwenda kutupwa 'shimo la Tewa'
 
Uzalendo,
Ufafanuzi gani nitakupa mimi uukubali ilhali tuhuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa kwa miaka 9 na mwishowe wameachiliwa?

Ala kuli hali umeuliza swali.
Kwanza nataka uelewe kuwa hajapata mtu kushitakiwa kwa ugaidi na akakutwa ana hatia.

Kipimo cha heshima ya Sheikh Mselem hadi kupewa nishani ni ule mchango wake katika kusomesha Qur'an.

Kipimo chake ni ule mchango wake kama mwalimu na mpenda nchi yake na akasimama kuipigania.

Ikiwa atakuwapo mtu anaona kuwa mtu kupigania maslahi ya nchi yake ni kosa hili tatizo ni lake binafsi.

Nimeweka hapa makala ya maisha ya vijana wawili walimu wa Qur'an, Sheikh Chambuso na Sheikh Ahmada nimewaeleza kama walivyo na kama wanavyofahamika katika umma wa Waislam wa Tanzania.

Hawa kwetu sisi ni walimu wasomeshaji wa Uislam kuanzia ngazi ya chekechea hadi kusomesha Islamic Knowledge katika shule na wana kibali cha serikali.

Sheikh Chambuso alishitakiwa kwa ''kushawishi mauaji,'' na Sheikh Ahmada kwa ''ugaidi.''

Sheikh Chambuso makakama ilimwachia huru kwa kukosa ushahidi kama alivyoachwa huru Sheikh Mselem.

Sheikh Ahmada In Shaa Allah na yeye ataachiwa.
 
Nimesikiliza baadhi ya clip za huyu mtu, ni uchochezi uliopindukia kiasi kwamba akirudia huyu anatakiwa kwenda kutupwa 'shimo la Tewa'
Pilipili...
Kuna clip ya Lukuvi anasema Zanzibar haiwezi kuachiwa kuwa huru kwa sababu wataweka serikali ya Kiislam.

Kuna clip ya Sitta inasema maneno mfano wa hayo.

Hawa wote ni viongozi wakubwa wa serikali na ni Wakristo.

Una lipi la kuchangia kwa kauli hizi zao?

Hawa watu ukitaka kuwatetea inabidi ujitoe akili. Kilichokuwa kinaendelea ni uchochezi wa ghasia na si dini. Tusitake kuchanganya hivi vitu tafadhali
 
Pilipili...
Kuna clip ya Lukuvi anasema Zanzibar ahiwezi kuachiwa kuwa huru kwa sababu wataweka serikali ya Kiislam.

Kuna clip ya Sitta inasema maneno mfano wa hayo.
Hawa wote ni viongozi wakubwa wa serikali na ni Wakristo.

Una lipi la kuchangia kwa kauli hizi zao?

Tuwekee na clip za Wachochezi Sheikh Ilunga, Sheikh Farid na wengine
 
Uislam unawafunga akil waumin wke kias kwamb hawajui kuwa muungano unafaida nying kwa Zanzibar kuliko Tanzania bara ( kiuchumi na kiusalama ) na kisiasa ni nusu kwa nusu , Zanzibar kuna sintofaham za muda mrefu kuanzia tofaut ya asili ( waarab & wapemba vs wanyamwez ( wenye asili ya bara Ambao ndo wanatawala Zanzibar ) mf kuna jamaa yng jina X kpnd tupo chuoni aliwai kuniambia mateso wanayopitia wapemba kwenye swala zima la ajira kuwa hawapew kipaombele serikalin na alinionesha video za mauaji ya waarab huko zanzibar kpndi wanapindua utawala wa kiarabu . Na hili ndio kundi linalodai kujitenga Zanzibar , sipati picha siku zanzibar ikijitenga kutoka bara , nazani ndo utakuwa mwisho wa amani
 
UGAIDI WA WAZI KABISA

Hawa watu walizidi Uchochezi, Ugaidi na Chuki kwa Waislam na zaidi kwa Wakristo.

Walitaka kuanzisha dola yao ya kipumbavu eti wakawa na bendera nyeupe pee wakiipeperusha Zanzibar na Mombasa na pwani ya Kenya kwa ujumla na kutaka bendera ya Taifa Zanzibar ishushwe chini, eti wanaanzisha dola rasmi ya kiislam wakati Walikuwa wanawa attack Waislam pia.

Takataka kabisa

KAFIRI WEWE UMO KATIKA KUENDELEZA UKAFIRI WAKO NA CHUKI ZA WAZI DHIDI YA UISLAMU NA WAISLAMU
 
Uislam unawafunga akil waumin wke kias kwamb hawajui kuwa muungano unafaida nying kwa Zanzibar kuliko Tanzania bara ( kiuchumi na kiusalama ) na kisiasa ni nusu kwa nusu , Zanzibar kuna sintofaham za muda mrefu kuanzia tofaut ya asili ( waarab & wapemba vs wanyamwez ( wenye asili ya bara Ambao ndo wanatawala Zanzibar ) mf kuna jamaa yng jina X kpnd tupo chuoni aliwai kuniambia mateso wanayopitia wapemba kwenye swala zima la ajira kuwa hawapew kipaombele serikalin na alinionesha video za mauaji ya waarab huko zanzibar kpndi wanapindua utawala wa kiarabu . Na hili ndio kundi linalodai kujitenga Zanzibar , sipati picha siku zanzibar ikijitenga kutoka bara , nazani ndo utakuwa mwisho wa amani

Tofauti zilikuja baada ya Laanatullahi Nyerere kuivamia Zanzibar 1964 na kumkamata Waziri Mkuu wake Shamte na mawaziri wake waliochaguliwa na wananchi na kuwafunga katika jela za Tanganyika kabla hata huo uvamizi haujapewa jina la muungano hapo April 26 ,1964
 
Hv kwanini waislam duaniani wanakuwaga na sura ngumu na katili kuliko watu wote wasio kuwa waislam?
 
Back
Top Bottom