Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,858
- 8,880
Unajua huyu Sheikh anajitambua na anajua nini anachokifanya.
Na wanaopinga humu utakuna ni Waislam wasiojua kitu.
Maana hata Kiongozi wetu Mtume Mohammad(S.A.W),alikaa na kuongea na kushauriana na hata kuitikia wito kwa watu wasio waislam,na hata wale wenye kuutukana Uislam.
Hakutumia nguvu wala kumwaga damu pale kwenye amani,alieneza neno la Mungu kwa nguvu za hoja kama silaha yake kubwa na vita pale inapobudi.
Ila Leo watu wanaweka uadui wa hali ya juu kwenye Ukristo,na hasa hawa wasiosoma Dini na wale waliosoma ukubwani ndio kabisaa,wao ubishi tuuuu
Kwani Mitume Wangapi tunaowaamini Wazazi wao wa upande mmoja walikuwa sio waislam?,na mbona waliishi pamoja licha ya kuwa na dini tofauti.Tena nyumba moja na chakula kula pamoja huku dini zikiwa tofauti.Ila leo sie wengine tunaofuata mkumbo ndio tunajifanya kuweka chuki za Kipumbavuuu na Ukristo.
Hakuna mtu utakae mgeuza dini aje kwako kama hautaanza kuhubiri amani,upendo na Mshikamano.