Sheikh Mkuu wa Dsm ahudhuria ibada Kanisa la Ufunuo, asisitiza umoja na mshikamano kwa Watanzania

Huyu jamaa namkubali saana...wish ndiye angekuwa sheikh mkuu wa Tz.
Muongezee na huyu mkuu..mzee wa neema za Allah..wao wanahubiri Aman
99accea129221cbf482d3694dceb8f1e.jpg
 
Hamjamjua huyu vizuri hakuna semina,kongamano,warsha asiyohudhuria akialikwa hawakilishwi hata na naibu wake.
Nyalandu alikuwa ana mtumia ati kupinga ujangili
Cha ajabu sijasikia akifundisha dini
 
Kafiri means mtu aliyeokoka,mtu mkristo ambaye anaamini Yesu ni mwokozi na ni mwana wa Mungu.

Kwahiyo ukiitwa Kafiri,mgalatia wala Myunani usikasirike,wewe iombee Israel taifa teule na Tanganyika yetu!
 
Back
Top Bottom