SHEIKH MKUU WA DAR NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA(video) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHEIKH MKUU WA DAR NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA(video)

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Narubongo, Jan 5, 2011.

 1. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135


  harufu ya udini kwa mbali na uelewa mdogo wa mambo nyeti
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa vipi! Eti tukologe siasa kwenye misikitiki, waalimu wa madrasa, na maimamu zingatieni hilo. Kazi kweli kweli hawa jamaa
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  ..Shekhe ameteleza.

  ..katika uongozi kinachopimwa ni track record, siyo utamu wa maneno na ahadi.
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Unasema watu wanalalamikia kitendo cha jk kusema anaunda tume ya katiba??, yes watu wana haki ya kufanya hivyo kwa sababu rais atakaowateua na kuwapa hadiju za rejea ana uwezo wa ku wacontrol na pili badala ya wateuliwa kulinda maslahi ya wananchi watalinda maslahi ya yule aliyewateua kumbuka methali ya atakayemlipa mpiga zumari ndiye atayechagua wimbo, kama wewe ulioni hilo sorry waache wanaoliona walimulike na siyo ku question nia zao.
  Huyu anaonekana kumtetea jk kuliko hata katiba aliyopaswa kuitetea si ajabu ana kadi ya ccm mfukoni. Watu wana haki ya kutomuamini jk kutokana na record yake ya kuzungumza uongo ukianzia swala la richmond mpaka issue ya takukuru. Km wewe unamwani jk endelea kumwamini ukatazwi na sisi ambao hatumwamini jk kwa sababu ya record mbaya. Kitendo chake cha kuporomoka kutoka asilimia 84% mpaka 60% kwa kuchakachua kwenye uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa people don't trust him anymore.
   
 5. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa si walimtoa kwenye gazeti lililodai kuwa ni mtoto si rizki? nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 au 10 mwaka jana

  baada ya pale waislam wenyewe wanamkimbia....

  lakini magazeti yetu huwa yanaandika mengi so...
   
Loading...