Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Kama utanijibu swali langu kweli mimi nitaitwa mjinga na wewe utakuwa mwerevu,Ukishindwa mimi nitakujibu ndipo itakapojulikana mimi na wewe nani mjinga
 
Kwani ukristo ni dini?
Sio Dini ni mfumo.

Je Uislam ni dini ya hakhi?
images%20-%202021-04-18T193154.723.jpg
 
Naona umeshindwa kunijibu,pole sana ndugu yangu,hii yote sababu umekaririshwa dini hujaingia kwa kutumia akili yako. Yesu kama Mtume wa Mwenyezi Mungu alipokuja duniani hakuwai kusema Dini yake ni Ukristo na hata alipopaa Wanafunzi wake hawakuwahi kuhubiri Ukristo,Dini ya Ukristo ilianzishwa baada ya Miaka mingi wakati Yesu na Wanafunzi wake wameshatoweka Duniani.Alichohubiri Yesu ni watu Kumtii kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu,na Mitume wote wamekuwa wakihubiri hivyo na ndiyo tafsiri ya Uisilamu.Inamaana Yesu mwenyewe alikuwa Muisilamu kama Mitume wengine
 
Hebu tutajie Sheikh wa hapa nchini ambaye ni Mhandisi, Mwanasheria au Daktari hata wa kusomea (PHd holder).

Nitajie wawili tu.
wapo wengi,acha kukaririri,elimu ya dini ya kiislamu ngazi ya shahada vyuo vikuu vipo nje ya Tanzania hapa Tanzania wengi wanaishia thanawi(sawa na form 6) ukitaka kuendelea ndio unaenda nje hasa Misri,Saudi arabia,sudan, Kenya na kwingineko.....Tafuta watu waliosoma level za shahada au zaidi halafu uone kama utaweza kumshinda katika ujengaji wa hoja au hata mtu aliyesoma Qur an akailewa.

Mtafute imamu mkuu wa msikiti wa masjid maamur upanga ,yupo sheikh Ndauga ni enginner.
 
Kama huelewi chochote katika uislamu bora kutulia kimya.....wewe unajua kwa nini aya za kuwaua makafiri zilishuka nenda kasome tena ulipo karirishwa.
wapo wengi,acha kukaririri,elimu ya dini ya kiislamu ngazi ya shahada vyuo vikuu vipo nje ya Tanzania hapa Tanzania wengi wanaishia thanawi(sawa na form 6) ukitaka kuendelea ndio unaenda nje hasa Misri,Saudi arabia,sudan, Kenya na kwingineko.....Tafuta watu waliosoma level za shahada au zaidi halafu uone kama utaweza kumshinda katika ujengaji wa hoja au hata mtu aliyesoma Qur an akailewa.

Mtafute imamu mkuu wa msikiti wa masjid maamur upanga ,yupo sheikh Ndauga ni enginner.
Nimekuambia unitajie Masheikh kadhaa waliosoma mpaka level ya PHd ambao ni Wanasheria, wahandisi au Madaktari kwa field zao, wewe unaniletea tarawee

Jibu kinagaubaga kama wali wa manjano haujakuchafua tumbo sheikh
 
We huelewi kijana.
 
Back
Top Bottom