Sheikh Khalifa khamis anatumika na organelles

ustadhijuma

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
3,020
1,968
Habari zenu wana jf!!
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
 
Back
Top Bottom