Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Huyu hapa
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg

Mungu hamfichi mnafiki .
 
Kiukweli Mimi nimekuelewa sana! Isingekuwa Kijani ya CCM, Nchi hii isingefika hapa
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza sana kwanini CCM inabarikiwa sana, sasa ndio nimepata jibu, kumbe ni shauri ya ile rangi ya kijani!. Ndio maana CCM itatawa Tanzania milele!.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!

Naona shekhe anauza dini ili kushibisha tumbo. Tulivyofundishwa katika dini yetu ya Kiislamu ni kuwa kwa kila ukishemacho juu ya dini ni lazima unukuu kutoka katika Qur-an takatifu au kutoka katika Hadithi za mtume Muhammed (S.A.W) kama ni uthibitisho wa kweli, jee sheikh Musa ameweza kufanya hivyo?
 
Ndio, alinukuu aya husika!
 
Back
Top Bottom