ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------
Bismillahi rahmani Rahim.
Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua
Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B kuanzia muda wa saa sita za mchana. Baada ya dua na swala ya adhuhuri Maiti ataswaliwa hapo hapo Mwananyamala na baada ya sadaka ya chakula Takribani saa nane na robo Marehemu atapelekwa Msikitini Kwake Masjid Mwinyikheri kisutu. Hapo kutakuwa na dua mpaka wakati wa alasir ambapo ataswaliwa na kwenda kuzikwa kwenye Makaburi ya kisutu.
Innalillah wainalilayhi raajiun.