TANZIA Sheikh Ahmed Haydar, Imam wa Masjid Mwinyi Kheri Akida afariki dunia

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------

Bismillahi rahmani Rahim.

Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua

Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B kuanzia muda wa saa sita za mchana. Baada ya dua na swala ya adhuhuri Maiti ataswaliwa hapo hapo Mwananyamala na baada ya sadaka ya chakula Takribani saa nane na robo Marehemu atapelekwa Msikitini Kwake Masjid Mwinyikheri kisutu. Hapo kutakuwa na dua mpaka wakati wa alasir ambapo ataswaliwa na kwenda kuzikwa kwenye Makaburi ya kisutu.

Innalillah wainalilayhi raajiun.
 
Hebu weka nyama tumjue huyu mwanazuoni vzr.
Aliishi wapi
Msikiti uko wapi
Kafia wapi
Chanzo Cha kifo nk
Shaikh Ahmad Haidar Mwinyimvua
Katika miaka ya 50 kuendea 60 alikua mwanafunzi wa Muslim Academy Znz. Akasafiri kwenda Aden kabla ya kwenda Misri . Huko Misri alisoma miaka 13 .
Alikua mwalimu hodari wa Sharia na Lugha ya Kiarabu.
Aliwahi kwenda Mzumbe Morogoro kuwasomesha Mahakimu Ndoa na Mirathi ya Kiislamu. Baadae alikua ni Imamu wa Msikiti wa Mwinyi Kheri Akida. Hapo alidumu mpaka kufariki kwake.
Aliugua ugonjwa wa Kisukari. Alikua ni mkweli na mwenye uchungu wa Dini yake. Mara nyingi akituhimiza kusoma sana. Aliwahi kisomesha Lugha ya kiarabu Elimu ya watu wazima katika shule ya Gerezani. Mie nilikua ni mmoja katika wanafunzi wake aliowasomesha Lugha ya Kiarabu. Allah amrehemu na ajaalie kaburi lake linawirike kwa nuru ya elimu
 
Kumbe wasiokunywa bia nao wanaugua kisukari duuuuh basi hakuna namna weitaaa bring anaza
 
Hapo mwisho sijaelewa...kaburi linawirikeje?
 
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------

Bismillahi rahmani Rahim.

Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua

Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B kuanzia muda wa saa sita za mchana. Baada ya dua na swala ya adhuhuri Maiti ataswaliwa hapo hapo Mwananyamala na baada ya sadaka ya chakula Takribani saa nane na robo Marehemu atapelekwa Msikitini Kwake Masjid Mwinyikheri kisutu. Hapo kutakuwa na dua mpaka wakati wa alasir ambapo ataswaliwa na kwenda kuzikwa kwenye Makaburi ya kisutu.

Innalillah wainalilayhi raajiun.
Poleni sana wafiwa. RIP Shekhe Mwinyimvua
 
Kumbe wasiokunywa bia nao wanaugua kisukari duuuuh basi hakuna namna weitaaa bring anaza
Yes ndg TF,
FYI, magonjwa au maradhi au virusi au maambukizi haya yote hayana aibu au fedheha kwa mwanaAdam... pia Mauti na misiba inakubalika kiBinaAdamu.!!
Kwa Imani ya kiIslam, tunaridhia na kupokea inavyokuja au kutuvamia, tunasema hivi:-
1. Mitihani kwetu ni Jambo la kidunia/kilimwengu.
2. Maajur yaani (ujira) rewards of thawabu
3. Tahour (tahora) yaani kutakasishwa,(washing/cleansing)
Hivyo waislam tunahimili Kheri na shari kadri inavyokuja hizo ni Moja ya changamoto za uhai...haturuhusiwi kulalamika..

Inna Lillah wa Inna iLayhi Rajioun.
 
Asante mkuu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom