Sheik Yahaya atatoka vipi?Maana uchaguzi umefanyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheik Yahaya atatoka vipi?Maana uchaguzi umefanyika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by sem2708, Nov 5, 2010.

 1. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,038
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Yule mtabiri aitwaye sheikh yahaya alitoa utabiri kuwa uchaguzi utaahirishwa kwa kuwa jambo baya litamtokea mgombea sasa atajitetea nini?
  Maana uchaguzi umefanyika.
  Kuhusu mtu kufa ghafla atakayempinga kikwete,Shibuda hakufa either kimwili ama kisiasa kwa kuwa ameshaukwaa ubunge...
  Ajitokeze tumsikie...Kibararaka Mkubwa wa CCM wewe..
  Kazi kutisha wananchi kwa ushirikina....
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,560
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mshirikina mkubwa yule.utabili wake ulivunjwa nguvu tangu shibuda alipompinga Kikwete.
   
Loading...