Shehena ya sukari yakamatwa Serengeti na kuuziwa wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shehena ya sukari yakamatwa Serengeti na kuuziwa wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Nov 22, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Gari namba T607BCY lenye shehena ya sukari limekamatwa wilayani serengeti mkoani Mara ktk mji wa mugumu likiwa njiani likielekea nchi jiarani ya Kenya.Chini ya ulinzi wa polisi sukari hiyo wanauziwa wananchi kwa kiwango cha kilo tano tu kwa kila mmoja na kwa gharama ya sh 1800 kwa kilo
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sijaelewa wanauza halafu hela anachukua nani?nchi hii bana ina vituko sana
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we unataka kujua hela inaenda wapi au unataka bei nafuu ya sukari?ok basi sukari inauzwa na hela inaenda tra.
   
 4. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Nzuri hito, nchi yetu inauhaba wa sukari alafu mtu anaitoroshea kenya? Ndo wanasababisha bei iongezeke hawa nyambafu. Waache wananchi wapewe unafuu.
   
Loading...