shehe Yahya yuko wapi jamani.

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Shehe Yahya Hussein yuko wapi ?
simu zake hazipatikani, Namashaka hali yake ni tete , maana alisema kuna uwezekano wa Yeye kufa kama hakutakua na mgombea atakaeaga Dunia.

bado nafuatilia Nyendo zake.
 
Back
Top Bottom