Elections 2010 Shehe yahya na kifo cha shibuda kisiasa

waislamu watujibu kuhusu sheikh wao tafadhari sisi wengine hatujuagi siku za kufa watu isipokuwa uislamu tu ndiyo unaweza..........
 
waislamu watujibu kuhusu sheikh wao tafadhari sisi wengine hatujuagi siku za kufa watu isipokuwa uislamu tu ndiyo unaweza..........

Acha kashifa za kidini hapa. Unajimu wake hauna uhusiano na taasisi za waislamu ni wake mwenyewe. Ni matusi na udhalilishaji kuhusisha unajimu wake na uislamu. Wewe hufai kuwepo katika jamvi hili (JF) kwani unaonekana ni mdini na unalipeleka taifa letu kusiko.
 
Kumbe Shekh Yahya alimaanisha kifo cha CCM (duuuu woote tulifumbwa macho)
 
Atakufa yeye na si muda mrefu atawaacha wale aliowatabiri akuwa watakufa. Yaani chama kinachotegemea mizimu, nyota, majini, maruhani, majuha, etc ni hatari na hakifai kabisa. Tena mnatumia vyombi vya habari kukazia ushuzi huo, upo Salva R?
 
https://jamii.app/JFUserGuide Sheikh Yahya,https://jamii.app/JFUserGuide his genies and if you believe him https://jamii.app/JFUserGuide YOU TOO!!
Kama mnanifungia nifungieni tu ila namchukia kuliko ninavyomchukia shetani mwenyewe.
 
Back
Top Bottom