Elections 2010 Shehe Yahya chalii

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Alisema shibuda atakufa...alipobanwa mbona mtu hafi?? akasema atakufa kisiasa....atashindwa na kupotea kabsaaaa.....
 
Shehe Yahya Hussein anahangaishwa na njaa. Hata hao anaowapata nao wana matatizo ya ubongo kama yeye. Huyu wala si shehe bali mshirikina wa kawaida tu anayeutia aibu uislam kwa njaa zake. Na alaaniwe kiumbe huyu sawa na mabwana zake yaani mafisadi na wachakachuaji.
 
tunajua ana kazi mbili......usalama na uganga....
 
Ole wake yule asomaye nyota, mpiga ramli na wachawi hakika Jehanamu ni yao. Inampasa atubu dhambi zake zote alizozifanya ikiwemo na kuiba nyota za watu apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............
 
Hako kazee ukikaoa hivi sasa utakaonea huruma. kamechuja sana. afya imeyumba siyo mchezo. sikaombei vibaya lakini siku zake zinahesabika tu.
 
Mimi nilifikiri amekufa. Chali yenyewe ndiyo hiyo? Mbona siku zote huwa anachemka tu. Si ndiye aliyesema Rais wa Tz angekuwa mwanamke, na akasema uchaguzi ungeahirishwa? sasa yameishia wapi?
 
Hivi kwani Shehe Yahya nani? hana lolote mweupe tu yule, haya sasa aseme lingine tena, Kelele za mlango toka lini zikamzuia mwenye nyumba kaulala? tumesha mhakikisha kua hana lolote.:tape:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom