Shehe Yahaya Aja na new TV...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni macho kushuhudia SHEHE YAHYA akiwaonyesha mambo yake...
 
Tunasubiri kwa hamu kubwa ili atuthibitishie pale aliposema uchaguzi hautafanyika kwani kuna mgombea mmoja kati ya waliokua wanagombea Urais atakufa...non sense.
 
MAJIBU yote mtapata hilo halina shaka, shehe wa ukweli anakuja kivingine maana watu wanampigia kelele mno, kila swali litajibiwa hivyo msiwe na hofu..............
 
hakuna maana yoyote, sasa mnashangaa nn kuona anatabiri na yote yanakuwa, sioni hoja hapa!!! kwani nini asiyejua ushirikina nini? nani asiyejua shetani anweza kufanya nini? na mawakala wake ni akina nani? nani asiyejua Mungu anweza kufanya nini? na mawakala wa Mungu wanaweza kufanya nini!

Tusifurahi tuuu, au tusiwe kama wachanga wa imani! so let him show us, BUT mti mwema au mbaya hujulikana kwa matunda yake eventualy!!!. guyz thay is the world of the spirits, it is knowldge, some one soo naive might be traped and entirely rest on the bad/good spirit!!. Let us see if his profecy will give glory to GOD, and actualy if you are keen enough you might have known it by now. These are the Times!!
 
upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu. ataangalia JK na wote wanaolindwa na maluhani
 
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni macho kushuhudia SHEHE YAHYA akiwaonyesha mambo yake...

naona vipindi vya comedy vinaongezeka katika luninga zetu.....shehe yahaya (ze comedy) na askofu gwajima (orijino comedy)
tutajua nani zaidi kati ya tapeli na msanii.....
 
Mtumishi wa mungu Gwajima siyo Askofu bali ni Mchungaji lakini kikubwa nataka kukushauri usitafute laana kwa kuwakashifu watumishi wa mungu.Mungu mwenyewe atashughulika naye kama anafanya usanii lakini wewe endelea na yale yaliyo yako na ya mungu mwachie mungu maana yeye ndiye anayemjua.
 
gwajima na yahaya wote sanaa.....tena hao ndo wanatafuta laana ya Mungu kutumia kivuli chake kufanya sanaa zao.......
 
'Shehe' Yahya Hussein alitabiri mgombea yeyote atakayegombea Urais kupambana na JK angekufa!
 
unanadi na kushabikia ushirikina, hebu toka hapa
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni macho kushuhudia SHEHE YAHYA akiwaonyesha mambo yake...
 
MAJIBU yote mtapata hilo halina shaka, shehe wa ukweli anakuja kivingine maana watu wanampigia kelele mno, kila swali litajibiwa hivyo msiwe na hofu..............

Tatizo sio kujibu maswali.! Tatizo ni majibu ya ukweli... Who to Question? You have a lot to do 4 ur coutyr and family, don't listen to him
 
Kuna madai kuwa Watu wanaoongoza kwenda/kutumia waganga wa kienyeji/Ndumba wanaogoza kwa kuishi maisha ya kufedheheka sana.Wanapa fedha lakini wanaishi kama maskini wa kutupwa ,hata humu JF wapo kibao
 
Back
Top Bottom