Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Soma ibara ya 19 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Danganyika sorry Tanzania
Hujui unajadili nini, sasa sehemu ya hiyo Ibara si imeongelea Tu Uhuru wa mambo ya imani sasa inahusiana nini na mada yako?, maana ulikuwa unalalamika kuwa Zenji inageuzwa emirate ambapo ukiangalia wao wanafuata katiba yao.

Kasome Sheria ya ofisi ya mufti, huoni kuwa unajijibu na kujipinga, nenda kasome katiba ya Zanzibar utaona namna wao Wana Uhuru wa kuamua mambo Yao ikiwemo ya dini, dini (kiislamu ) na serikali Zanzibar zinakaa sehemu moja ndio maana kuna Ofisi ya Mufti ambayo ni ya serikali, mbona hakuna Ofisi ya Catholic, KKT nk iliyo chini ya serikali ya Zanzibar kama kweli serikali haina dini?,

Secular iloyopo (Zanzibar)ni ya kipande kidogo mnooo .....na ndio hoja yangu Inakuja hapo kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu, Sisi tunawalazimisha tu na tumejichanganya , hujui kuwa mufti (kiongozi wa kiislamu Zanzibar) ni mtumishi wa umma (Serikali)??.... muungano Una missing pieces kibao.
 
Kwaiyo mnataka kuvunja Nazi 👈
au kuvunja Ungo 👈

Mwalimu Nyerere katawala miaka 20+ lkn Waislam wametulia
kinyaaa 👈

Leo nyinyi kondoo kila mkiona Rais muislamu

Mnajivika Unajimu 💩 wanataka kuleta Taifa la kislam

Wanataka kuleta Waarabu

Wanaleta wasomali

KONDOO watabaki kuwa KONDOO kuwaelewa ni ngumu mana nafsi zao kumeoza!!

wapo km walevi Vipofu Mazuzu kwa chuki dhidi ya UISLAM 👈

Ndiomana wanauwawa mpaka na Wachungaj wao 👈

Mana kiakili ni mizwazwa kupitiliza
Yanadanganywa kama vitoto vidogo

Wengine utawasikia eti Waislam wanalengo kuja kuwauwa Wakristo 🫎🫎🫎

kisa kadanganywa na Mchungaji wake na Sadaka kamzawadia juu!!!

Lkn uyo muumini kwakuwa ni zwazwa Bin KONDOO aliepotea kichwa kimejaa maj🫎i👈

ajiulizi ndani tu ya Familia yao kunakosekana ndugu lkn Dini ile kindhan👈

je unaweza kumuuwa uyo ndugu yenu kisa Dini yake tu..

Kama kwenu kupo ivyo ndivyo Familia nyingi kwasasa zipo ivyo👈

huwezi kukosa Dini tofauti ndani ya Familia atakama mtamtenga lkn yupo
ni sehemu ya Familia usika.

Punguzeni Chuki kwanza kwenye Nafsi zenu 👈

ndipo mtajua Tanzania ni ya wa Tanzania na Tanzania inajengwa na kuendelezwa na Dini zote Rais yoyote yupo kwaajili ya Tanzania sio Dini yake

Rais Samia kasaidia Makanisa mengi tu makubwa na madogo mpaka kanisa Kotoliki limepewa pesa nakusaidiwa Ujenzi lipo kanisa moja limepewa milioni 100. Nk.

Swali kwa kondoo???

Kama Rais Samia anaunga mkono nchi kutawaliwa kislam mbona basi anasaidia Makanisa mengi ivi??

Mbona chuki zenu zinakosa kichwa kiakili!!

Punguzeni Uzwazwa kiakili Mchungaji kama anakudanganya au kukupanda chuki dhidi ya ndugu yako muislamu 👈

mkalipie Mchungaji mwambie wewe pepo toka kwenye kiwiliwili cha Mchungaji 👈

rip JPM nayeye mbona kasaidia misikiti mingi tu.

TANZANIA Chuki imebaki mitaji ya Wachungaj vimeo.

Mashekh ujinga wa Kuwachukia Marais Wakristo waliacha tangu kipindi cha Benjamin William Mkapa

lkn Wachungaj sijui lini wataacha kupotosha awa KONDOO
waliopotea 👈
 
Gregory Mendelz alistate three laws of inheritance. Huyu alikuwa Padre wa Kanisa katoliki, utafiti wake auhusiani na Imani ya Kanisa, ni scholar kama scholar yeyote yule wa biolojia. The same apply to Pope Gregory XIII na calendar yake ambayo inategemea mzunguko wa jua na ndio imekubaliwa kama civil calender duniani. Hii iliundwa kama mbadala wa Julian calendar ambayo ilitegemea mzunguko wa jua pia lakini ilikuwa na makosa katika calculations zake. But Haina msingi wowote na Imani ya kikristo.

Hivyo usipotoshe January mosi si sherehe ya mwaka wa kikiristo. Na Haina Liturujia yoyote katika Kanisa.
Gregorian calender inahesabu kutoka kuzaliwa kristo yaani A.D anno domino hivyo siku ya tarehe mosi wakiristu husheherekea mazazi ya yesu na leo ni miaka takriban 2026 toka yesu azaliwe

Kalenda ya kiarabu imeanza kuhesabu toka kuhama kwa Mtume kutoka madina kwenda makkah

Hizo zote ni kalenda zinaweza kutumika katika mifumo yote na dini zote lakini genesis yake ni kutokana na imani ya Yesu na Muhammad
 
Essence ya calender sio inaanza kuhesabiwa wapi bali mzunguko wake unategemea wapi ( inaweza kuanzia popote tu sawa) Gregorian calendar inategemea mzunguko wa dunia kulizunguka jua, hapo inahitaji Hesabu makini sana. Isiwahi Wala isichelewe kutoka mzunguko halisi.
 
Kwahiyo unabisha kuwa leo sio mwaka wa 2026 baada ya kuzaliwa kwa yesu?
 
Hujaelewa Hoja
Wewe ndio unapindisha hoja, unataka kutuaminisha gregorian kalenda sio ya kikiristu kitu ambacho ni uongo

Ni sawa niseme kalenda ya hijr sio ya kiislam maana mara ya kwanza iligunduliwa na wa-egypt wakiwa wanahesabu vijiti kufuata muandamo wa mwezi ndio baada ya Mtume kuhama madina wakairekebisha na kuanza kuhesabu upya
 
Essence ya calender sio inaanza kuhesabiwa wapi bali mzunguko wake unategemea wapi
Na hoja yako hii ni kuwa hata hiyo ya kiarabu essence yake ni kutokana na mzunguuko wa mwezi ila bado tunaiita kalenda ya kiislam kwakuwa inahesabu kutoka pale Mtume alivyohama kutoka madina kwenda Makkah la si hivyo tusingeiita ya kiislam
 
Kosa lako nikufananisha mapokeo ya kiislamu na Ukristo. Ukristo inamisingi ya kiimani tofauti na Kiislamu. Usilazimishe mambo.

Japo Gregorian calendar ilitangazwa na Papa Gregory XIII mwaka 1582 ( hapa ndio ilianza kutumika) ili kufix Julian calendar ( iliyotangazwa na Kaisali Julius mwaka 45 BCE kwahiyo Yesu alizaliwa wakati wa Julian Calendar sio Gregorian) iliyokuwa na makosa katika calculations ( ilionekana kupoteza siku Moja baada ya miaka 128). Gregorian calendar has nothing to do with christian faith. It is only a 365-day solar dating system ambayo nayo sio perfect inawezekana mbeleni ikarekebishwa tena ( kwani hii inapoteza siku Moja baada ya miaka 7700, kwahiyo inavumilika).

Mwaka mpya (January mosi) sio sherehe ya kikristo is only civilian. Kuwe mapumziko kusiwe mapumziko haiathili Imani ya kikristo kwani Haina msingi wowote kimaandiki na kimapokeo.

Sasa usichoelewa nini hapo ( ni swala la calculations tu sio Imani, hata muislamu Anaweza fanya tu).

Kwahiyo unapoomba mapumziko ya mwaka mpya wa kiislamu usifanye in reference to January mosi kwamba ni ya Kikristo Ili kujustify maombi yako kwamba mbona wakristo wanapumzika. Is totally wrong. Ile sio sikukuu ya kikristo. Pambana kivyako.
 
Kwani hiyo unayoita ya kiislamu haijafanyiwa marekebisho na toka lini marekebisho yakaondoa uasili wa kitu

Yani wewe umegundua kitu mwenzio akaja kufanyia marekebisho inaondoa uasili wa kitu ulichogundua?
 
Mwaka mpya (January mosi) sio sherehe ya kikristo is only civilian.
Na hii hoja yako ni sawa na kusema US dola sio ya marekani kwakuwa inatumika duniani kote hata hiyo kalenda ya kiislamu ikiafikiwa itumike na mataifa yote duniani inatumika ila haitaondoa uhalisia kuwa Genesis yake ni kuhama kwa Mtume kutoka Madina kwenda Makkah
 
Ni kweli. Kwa waliopokea na kupwakia bila kuelewa wala kushuku na kujitafia maarifa ni makosa kulinganisha hivi viwiii vyote ni watoto wa baba mmoja Ibrahim aka Abrahamic religions. Naachia hapo. Jitafutie maarifa uheshimike na kuficha ujinga wako.
 
What a fallacy argument!
Kama ni watoto wa baba mmoja Ibrahim so what?
Peculiarity and diversity is always there hata Kwa mapacha waliotokana na yai Moja, Dini Moja, familia Moja n.k. sembuse mambo ya Imani Kati ya Ukristo na Muislamu kisa Ibrahim.

Hoja hapa ni Calendar tu.
 
Na hii hoja yako ni sawa na kusema US dola sio ya marekani kwakuwa inatumika duniani kote hata hiyo kalenda ya kiislamu ikiafikiwa itumike na mataifa yote duniani inatumika ila haitaondoa uhalisia kuwa Genesis yake ni kuhama kwa Mtume kutoka Madina kwenda Makkah
We jamaa unajadili accidental badala ya essence ya vitu mara Madina sijui makkah.
Gregorian calendar has nothing to do with matters of faith in Christianity It is only a 365-day solar dating system iliyo anzishwa na Kaizari Julius mwaka 45 kabla ya kuzaliwa Yesu. Gregory alirekebisha tu makosa katika calculations. Usichoelewa nini hapo?

Nyie kama mnataka mapumziko katika mwaka mpya wenu msifanye reference Kwa January mosi ( hii siyo sikukuu ya kikristo) hata mapumziko yakifutwa hamna shida yoyote.

Ukristo unasikukuu kubwa mbili Pasaka na Christmas. Not a New Year.
 
Kwani hiyo unayoita ya kiislamu haijafanyiwa marekebisho na toka lini marekebisho yakaondoa uasili wa kitu

Yani wewe umegundua kitu mwenzio akaja kufanyia marekebisho inaondoa uasili wa kitu ulichogundua?
Umechagua kutokuelewa sio.
Calendar hii imeanza hata Kabla Yesu hajazaliwa na Kaizari Julius. Alichofanya Gregory ni kurekebisha tu calculations ya siku Moja kupote baada ya mzunguko wa miaka 128. Sasa hapo unauhusianaje na Imani. Nini uelewi hapo
 
Gregorian calendar has nothing to do with matters of faith i
Hata hijr kalenda ni mzunguuko wa miezi 12 kwa kufuata muandamo wa mwezi pia haihusiani na dini ya kiislam maaana mwezi na jua ni natural bodies
 
Umechagua kutokuelewa sio.
Calendar hii imeanza hata Kabla Yesu hajazaliwa na Kaizari Julius. Alichofanya Gregory ni kurekebisha tu calculations ya siku Moja kupote baada ya mzunguko wa miaka 128. Sasa hapo unauhusianaje na Imani. Nini uelewi hapo
Nimekuuliza kuwa, marekebisho ya kitu huondoa uasili wa kitu? Nijibu
 
Back
Top Bottom