KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 864
Taarifa kutoka Mwanza zinaonyesha kuwa Shehe Hassani Illunga Kampunga amepinduliwa katika Vikao vilivyofanyika Mwezi wa Kumi mwaka huu wakati yeye yupo katika matibabu India.
Waliofanya mapinduzi hayo ni Kamati kuu ya taasisi ya Thakibu ambayo alikuwa anaiongoza huku sababu ya mapinduzi hayo ikiwa ni ubabe na ubadhirifu wa mali za taasisis.
Baada ya kurejea nchini mwanzoni mwa Nov 2013, Shehe Illunga aliitwa na kusomewa mashitaka hayo na kupinduliwa.
Tarehe 24/11/2013 Shehe Illunga alikwenda kuwahutubia waumini kwa maana ya kuwaaga jambo lililopingwa na waliomtoa lakini akalkazimisha na alifanya hivyo kwa kuwaponda waliompindua huku akisema kuwa wanatumiwa.
Baada ya kumaliza hotuba hiyo aliruhusui maswali lakini zilitokea vurugu kubwa na watu kupigana.
Katika kuhitimisha hotuba yake Illunga alisema kuwa anajitoa Thakibu lakini atabaki kuwa menaja wa miradi na kamwe hataacha harakati.
NB:
Kupinduliwa kwa Illunga kumekuja sikuchache baada ya Shehe Ally Basalehe wa Msikiti wa Idrisa kupinduliwa septemba mwaka huu ,akiwa hija baada ya kupelekwa Hija na serikali.
Ikumbukwe kuwa Illunga naye amepinduliwa wakati amepelekwa India na serikali kutibiwa!
Hoja kubwa ni kwamba Serikali kupitia Jeshi la Polisi walikuwa wanamtafuta Shehe Iliunga kwa Kuchochea UDINI lakini cha kushangaza Mkono wa pili wa serikali hiyohiyo ulimpeleka India kwa Matibabu na amerejea huku Polisi wakiwa Kimya.
Kufuatia uchochezi wa Illunga makanisa yamechomwa moto na wameuawa viongozi wa dini ya Kikiristo na IGP ameongezewa mda!