Hii ideology ndo imezifanya nchi za kiislamu kustawi kiuchumi.Na kuondoa gap Kati ya watawala na watawaliwa.Muislamu wa kweli hawezi kuwa sehemu ya dhuluma na uonezi. Hongera kwake kwa kufanya uamuzi sahihi
Hii ideology ndo imezifanya nchi za kiislamu kustawi kiuchumi.Na kuondoa gap Kati ya watawala na watawaliwa.Muislamu wa kweli hawezi kuwa sehemu ya dhuluma na uonezi. Hongera kwake kwa kufanya uamuzi sahihi
me nadhani hii ni njia nzuri sana isiyokuwa na usumbufu.Huyu ameshasoma ramani,yaani ile dua iliyofanyika tarehe 27/10/2020 inafanya kazi wezi wa kura wanapukutika mdogo mdogo, kaogopa ghadhabu ya Mungu huyo. Hadi 2025 wengi tutakuwa tumewazika. Mungu hadhihakiwi,wao wana mitutu ya bunduki sisi tuna Mungu
Ila mjue wapinzani wao siku zote wameibiwa kura. Kama unavyohisi ni sawa bora warudie tena uchaguzi huku sheria na taratibu ikizingatiwa kwa uwazi zaidi tuone nani anachukua jimbo.ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
Hongera Sana Mh.Mpemba Dhambi inayofanywa na CCM isije ikawa Sehemu Yako Chuki,Uonevu na Kamata kamata Ubambikiaji KESI ndio Falsafa yao Ya KAZI INAENDELEA yale yale ya MAGUFULI
Mi CCM!!hata siku moja haiko tayari kufanya chaguzi huru na haki, bora huyo dhamira imemsuta kwa uhuni uliofanyika kwwnye uchaguzu huo, akaona aachie tu hicho kiti!!1.Ushirikina
Labda mizimu inamtaka awe mganga wa jadi
Huyu Shehe Mpemba kuna kitu alichoshtukia manake kaona sio haki kunufaishwa na dhulma, kutokana na inavosemekana kashindwa na mpinzani wake kwa kura asilimia 70%, dhulma ikampitisha yeye wa 30% awe mbunge wa konde. naona hiyo ndio iliomsababisha khofu ya kumuogopa Mungu imfanye ajuuzulu huo ubunge.
Kwa taarifa yako hata huyo aliyejiuzulu dhamira inamsuta maana anajua fika hakushinda. Na ikitokea siku ccm wakakubali uchaguzi huru na wa haki, hata wakishinda hawataweza kuvuka 55%, na hawataweza kupitisha chochote watakacho bungeni kama wafanyavyo sasa.Ila mjue wapinzani wao siku zote wameibiwa kura. Kama unavyohisi ni sawa bora warudie tena uchaguzi huku sheria na taratibu ikizingatiwa kwa uwazi zaidi tuone nani anachukua jimbo. Sio watu kulilia tu kufikiri uongozi ni kugawiwa kama sima washibe wakati ni kuchaguliwa na wananchi..ngoja tuone kinachofuata.
Kwa maana hiyo, utafanyika uchaguzi mwingine mshindi atakua wa ACT, ili chombo kisiende mrama?ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
NIMESHANGAAAisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
CCM wanachezea sana kodi zetu. Ila mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti. Wizi wa kura ni dhambi na wote walioshiriki lazima mabaya yawakute hata isiwe kifo lakini kamwe hawatapata amani ya moyo.Yaani anajiuzulu kabla ya kula kiapo. !!?? Tayari aneleta hasara ya kufanya uchaguzi kwa mara nyingine tena.
Kwa hiyo akishajitoa kama hivyo kinachofuata ni nini?ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
Wazanzibar wameamua kumuenzi Maalim SeifHii ni kali na haijawahi kutokea 😳😳
Mungu siyo Lisu wala AmsterdamHuyu ameshasoma ramani,yaani ile dua iliyofanyika tarehe 27/10/2020 inafanya kazi wezi wa kura wanapukutika mdogo mdogo, kaogopa ghadhabu ya Mungu huyo. Hadi 2025 wengi tutakuwa tumewazika. Mungu hadhihakiwi,wao wana mitutu ya bunduki sisi tuna Mungu