sheep are stupid...but the Bible does compare us to the sheep...ikoje hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sheep are stupid...but the Bible does compare us to the sheep...ikoje hii?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Feb 4, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ..kiukweli kondoo ni mnyama mjinga,...Their IQ level is way down there in the single digits....
  ebu tusaidiane hapa, imekuajekuaje tukafananishwa na mnyama huyu?

  kwa mfano hapa...Isaiah 53:6. We all, like sheep, have gone astray, each of us has turned to his own way; and the LORD has laid on him the iniquity of us all.(sisi sote kama kondoo tumepotea kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; na BWANA ameweka juu yake maovu yetu sisi sote)

  pia tupia jina la mnyama mwingine unaejua ni mjingaaa...na ujinga wake!!
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,058
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  Napita njia.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  dogo unathibitisha tena ulivyo kiazi.
  Anyways, hapo nabii amewafananisha na kondoo kwa kuwa mmepotea, sio kwa kuwa mna IQ ndogo na wala sio kwa kuwa ni wapumbavu.
  Hata Yesu aliposema kuwa yeye ni njia, nahisi kuna siku utakuja ku-argue kuwa kwanini njia ni chafu, inakanyagwa na kila mtu, ina mavumbi yet Yesu anajifananisha nayo.
  Au tufanye hivi, kuna kipindi Yesu alimwita Petro mwamba...
  Kama Petro angekuwa na akili kama yako angechukia kwa kufananishwa na kitu kisicho na uhai, tena kigumu.
  All in all, hiyo ni mifano tu. Kumbuka pia Waisraeli walikuwa wachungaji kwa sana, na kilimo kidogo, walihitaji mifano hai ili kuelewa neno, rejea mifano ya mbegu, mzabibu, mtini, kupura nafaka + huo wa kondoo, mchungaji mwema, n.k n.k
  Upo hapo ulipo?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hapa siwezi changia kitu
  kondoo mjinga vs bibilia?
  Unajaribu kusema nini?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  @mphamvu, thanks kwa maelezo yako.
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwa nini Biblia inamlinganisha Yesu (au wamchao Mungu) na Mwanakondoo?

  Kondoo ni myama mpole na mtiifu kuliko wanyama wote wanaofugwa. Huitambua sauti ya mchungaji wake na kumtii. Hakuna mtu anayeweza kumdanganya kondoo hata kama ukiigiza sauti ya mchungaji wake. Kutokana na kondoo watu hupata sufu nyeupe, maziwa, nyama na sehemu zote za mwili wake watu huzitumia kwa matumizi mbalimbali.Kama ambavyo kondoo hutoa kila sehemu ya mwili wake kwa wanadamu.
  Yesu aliyatii mapenzi ya Mungu kwa usahihi na kutoa kila kitu kwa ajili yetu.

  Hata katika maisha ya kawaida watu wapole na watiifu hudhaniwa kuwa ni wajinga wenye IQ ndogo kwa sababu tu hawatafuti mambo makubwa, lakini ukweli ni tofaut, ni werevu mno na IQ zao ziko juu sana. Kama ni IQ mbuzi ni mnyama mwenye IQ ndogo sana ukulinganisha na kondoo maana anaweza hata akakimbilia kwenye gari lililokatika mwendo wa kasi na akagongwa jambo ambalo kondoo hawazi kufanya.

  Kondoo is smart than you think.
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  asante mkuu nimekupata...
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sawa mdada/mkaka...naona umehama bendi...
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mmmmwaaaah....
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  karibu mkuu na ukitaka uone kondoo alivyo smart ni pale unapomchunga, hata anapokwend amtoni kunywa maji hawezi kunywa kisha akayavuruga maji kama wanavyofanya mbuzi.....ni bora uchunge kondoo hata elfu mbili kuliko mbuzi thelathini.
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kweli nimeamini wewe zigo la mavi.
  Nikikubeba lazima uninukie...
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kondoo sio mjinga sema ana discpline, ni msikivu na anapenda/tegemea kuongozwa. Kitu ambacho sio kibaya ila kwasababu kila kitu mpaka uwasukume ndio wafanye inawafanya wadharaulike. Kwasababu hawawezi kujiongoza wenyewe hata inapobidi, wao kazi yao kufuata maelezo na kufuatana nyuma ikiwa wapo kundi. Ni ngumu sana kukuta kondoo wametawanyika hovyo kama wafanyavyo wanyama wengine wengi.

  Kwahiyo binadamu wanafananishwa na kondoo (+chanya) kutokana na ile sehemu yao ya utiifu na usikivu, hapo hapo anaweza akafananishwa nae (-hasi) kwa kutokua na maamuzi binafsi na kusubiria kusukumwa kufanya mambo anayotakiwa/hitaji kufanya. . .
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  unapenda kubeba eeeh?mwanaume unataka kubeba...wengine hatuchezei fuko la mbolea...umepotea njia choko wee!!
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Binadamu kweli yupo kwenye hasara, maana tumeletwa duniani kwa malengo mengine lakini sisi tupo busy na mambo mengine hata shukran kidogo hatuna.
   
 15. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa baada ya kushusha maelezo mazuri haya mambo ya nini tena Mphamvu. lol
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  maelezo mazuri si nimemshushia hapo juu, wala hajashukuru, alivyokuwa mkosefu wa adabu.
  Mtoto si bure huyu...
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Sasa nyie kilichowaleta huku ni nini hasa?kuonyeshana umahiri wa matusi?watu wengine siwaelewi kabisa!!
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  sie wangapi mkuu ON?
  Huyo mtoto si ndiye anaemwaga mitusi humu?
  Usela anaoufanya sasa hivi mimi nilishaufanya miaka mingi nyuma.
   
Loading...