Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,608
- 1,743
Kwa kweli kulikuwa hakuna Uchaguzi ,saa ingine utabiri inabidi uuangalie kwa kina ,ukiangalia mtokeo ya Uchaguzi na yaliyotangazwa ,kwa weli yaliyotangazwa ni mengine kwa maana hiyo uchaguzi haukuwepo ,Yaliyotokea Zanzibar yameanza kuLEAK na habari zipo mitaani ,hapa tumeona Slaa hakwenda wala kukaribia maeneo ya matangazo na hajulikani alipo.
Hivyo wandugu tukubalianeni kuwa uchaguzi haukuwepo kilichofanyika ni kiini baridi
Hivyo wandugu tukubalianeni kuwa uchaguzi haukuwepo kilichofanyika ni kiini baridi