She looks like one of the kids

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,637
Hii ni picha ya Sarah Jakes, binti wa T.D Jakes, akiwa na watoto wake wawili. She looks like one of the kids. Dada zetu wa kibongo acheni mishemsho ya n'gombe na kuku wa kizungu. Ebo!

581781_363661220447226_456753891_n.jpg
 
Kanaonekana hakajatulia hako katoto ka T.D. Jakes. Na huyo mjukuu wake wa kiume mtukutu na mjeuri. The last one is cute.
 
Heheh,wanaume wabongo wanavopenda mat**o...hhehe...looking young is good kw kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom