Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,229
- 36,240
Kabla usiku haujawa mnene....
Mwaka 2021 unaisha kwa namna yake kwa upande wa Bi Kasinde.
Kuna jambo limenibidi/limenifanya nifanye maamuzi manene/mazito yenye/yasiyo na mashiko.....
Mlango wa Mahaba umefungwa rasmi!
Ndio chemchem ya Mahaba imekufa ndani ya Bi Kasinde.
Ilinipasa nipite PM ila si rahisi, bandiko hili litaswihi kote.
NB: On a serious note, in my real life am engaged and I’ve say yes...! 😊.
Radhi kwa wote wataokwazika, wataoumia mioyo, wataokosa simulizi za Mahaba hapa maana maisha mapya yana spidi kali....
Hata nafasi ya kuingia huku sipewi....
Kuna baadhi ya wajumbe humu jukwaani wanaifahamu namba yangu ya simu ya mkononi, ukiweza baada ya kusoma hili bandiko tafadhali ifute nami nimefanya hivyo, naepuka usinikwaze/usimkwaze aliyenibana mbavu nami pia nisikukwaze....
Ikibidi sana kwa mbaaaaaaaaaalii ntakuwa natokezea hapa....!
Eebooh..! Nani kasema naaga 🤣🤣🤣🤣
Humu ni mtakuja hasa kwenye Memes 😜, ila no night / day phone calls 🙏.
Please wish me luck 😇.
Kasinde.