Shawn Carter 'Jay-Z' vs Brian Adams 'Birdman Stunnaman'.. Nani zaid na kwa nini?

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Hapo kuna Brooklyn boy Jigga Hova Jay-Z mwanamuziki na mjasiriamali kutoka New York Marekani. Ni tajiri aliyevuna pesa kwny Music na Biashara kibao, aliwah kuwa Ofisa mkuu wa Def Jam, pia ni mmoja wa wamiliki wa timu ya kikapu ya New Jersey Nets, lebo ya Roc Nation na studio ya Roc-A-Fella records pia anahusishwa kuwa anataka kuinunua na kuwa mmiliki kamili wa Club ya mpira ya Arsenal ya EPL ya East London Uingereza na ni mmoja wa wamiliki wa ukumbi maarufu wa starehe ujulikanao kama Club Radio City uliopo Manhattan NY Marekani. Mwingne ni tajiri Brian Williams a.k.a Birdman the Stunnaman kutoka Downtown New Orleans, anamiliki studio ya Cash Money na anamiliki lebo kubwa ya YMCMB yenye wakali kibao akiwemo kichaa Lil Weezy, Tyga, Drake etc. Pia jamaa ni mfanyabiashara mkubwa na ni agent wa magari kutoka GM General Motors kampun iliyokuwa inatengeneza gar za Hummer kabla hawajauza brand kwa kampun ya China, pia anamiliki migodi ya madini nje ya jiji la Oklahoma USA.
 
Jay z ni zaidi sababu ana hela nyingi na hana maonesho kama Birdman
 
Birdman studio ni ya kaka yake slim,na between birdman na jay z? Pdiddy ndio number one then jay z
 
Sio kweli kuwa Jayz anataka kununua timu ya Arsenal,bali alisema iwapo share zikiuzwa basi angenunua hisa na kuwa mmoja wa wamiliki.
Na Birdman ni mmoja wa wamiliki wa Cash money records akiwa na kaka yake. Bado haiko proved kwa yeye kumiliki migodi ya madini.
Yeye na kaka yake walianzisha kampuni ya mafuta na gesi iitwayo Bronald oil company.
Briefly ukiniuliza mafanikio ya kimuziki na mapinduzi nitasema Jayz. Bali ukiniuliza impacts kwa upande wa kibiashara nitasema Birdman. Cash money ni recording label pekee marekani na pengine duniani kuwa na mkataba mkubwa ambao hakuna msanii au label nyingine iliyowahi kupata. Wana mkataba na Universal Music ambao unawafanya kupata almost 85 percent ya royalt.
 
1. Diddy – Net Worth: $580 million (up $80 million)
2.Jay-Z – Net Worth: $500 million (up $25 million)
3. Dr. Dre – Net Worth: $360 million (up $100 million)
4. Master P – Net Worth: $350 million (no change)
5. 50 Cent – Net Worth: $260 million (up $10 million)
6. Birdman – Net Worth: $150 million (up $35 million)
7. Eminem – Net Worth: $140 million (up $20 million)
8. Snoop Dogg – Net Worth: $130 million (up $10 million)
9. Ice Cube – Net Worth: $120 million (up $20 million)
10. Lil Wayne – Net Worth: $110 million (up $15 million)
11. Kanye West – Net Worth: $100 million (up $10 million)
12. LL Cool J – Net Worth: $85 million (up $5 million)
13. Timbaland – Net Worth: $80 million (up $5 million)
14. Pharrell Williams – Net Worth: $80 million (up $2.5 million)
15. Akon – Net Worth: $80 million (up $2.5 million)
16. Beastie Boys - $75 million each (no change)
17. Ludacris – Net Worth: $75 million (up $5 million)
18. Busta Rhymes – Net Worth: $65 million (up $5 million)
19. Nelly – Net Worth: $60 million (no change)
20. T.I. – Net Worth: $40 million (up $10 million)
21. Big Boi – Net Worth: $40 million (no change)
22. T-Pain – Net Worth: $35 million (up $5 million)
23. Ice-T – Net Worth: $35 million (up $5 million)
24. Drake – Net Worth: $30 million (up $5 million)
25. Rick Ross – Net Worth: $28 million (up $3 million)
26. Nicki Minaj – Net Worth $25 million (up $5 million)
 
Rick ross uploadfromtaptalk1370485101379.jpg
 
Ma-rapper huwa wananiacha hoi wanavyopenda kutembea au kupiga picha na mabulungutu ya $ kana kwamba watu hawaamini kama wana hizo hela. Kwenye Documentary ya Lil Wayne kuna scene alifungua begi lake ndani kulikuwa na $ milioni 1 cash, jamaa aliyekuwa anamhoji akamuuliza "what's all that money for?" Weezy akajibu "for nothing!"

By the way Birdman atapanda sana kwenye chart ya Hip Hop Cash Kings kwani mkataba wao na Universal karibia unaisha hivyo kutakuwa na bidding wars kati ya major distributors kuwasainisha CMB na Birdman na kaka yake Ronald wameshasema kuwa mwenye namba (ya $) inayoeleweka ndio atapata deal.
 
What is all about hiphop cash kings ni wanaangalia mapato ya mwaka mmoja.
Na mostly wanakuwa wanatazama mapato ya mziki.
 
1. Diddy – Net Worth: $580 million (up $80 million)
2.Jay-Z – Net Worth: $500 million (up $25 million)
3. Dr. Dre – Net Worth: $360 million (up $100 million)
4. Master P – Net Worth: $350 million (no change)
5. 50 Cent – Net Worth: $260 million (up $10 million)
6. Birdman – Net Worth: $150 million (up $35 million)
7. Eminem – Net Worth: $140 million (up $20 million)
8. Snoop Dogg – Net Worth: $130 million (up $10 million)
9. Ice Cube – Net Worth: $120 million (up $20 million)
10. Lil Wayne – Net Worth: $110 million (up $15 million)
11. Kanye West – Net Worth: $100 million (up $10 million)
12. LL Cool J – Net Worth: $85 million (up $5 million)
13. Timbaland – Net Worth: $80 million (up $5 million)
14. Pharrell Williams – Net Worth: $80 million (up $2.5 million)
15. Akon – Net Worth: $80 million (up $2.5 million)
16. Beastie Boys - $75 million each (no change)
17. Ludacris – Net Worth: $75 million (up $5 million)
18. Busta Rhymes – Net Worth: $65 million (up $5 million)
19. Nelly – Net Worth: $60 million (no change)
20. T.I. – Net Worth: $40 million (up $10 million)
21. Big Boi – Net Worth: $40 million (no change)
22. T-Pain – Net Worth: $35 million (up $5 million)
23. Ice-T – Net Worth: $35 million (up $5 million)
24. Drake – Net Worth: $30 million (up $5 million)
25. Rick Ross – Net Worth: $28 million (up $3 million)
26. Nicki Minaj – Net Worth $25 million (up $5 million)
27.Harmorappa
 
Back
Top Bottom