Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

MURUSI, Unayo ongea ni ukweli kabisa bila hata kuambiwa kama unaakili utajua kabisa kuo ilo ndio game linalo enda kuchezwa acha nisema rip kwa chadema atae bisha atakua hajui kuchambua mambo yani ngoma inaenda kupingwa juu chin chadema lazima iminywe alafu vyama vingine vinapandishwa bai Bai ruzuku msishangae mboe kuunga juhud mda si mrefu sio mbowe tu hata baadh ya wabunge wengine watakao hofia kukosa kurud bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hata nccr imesha Wai kua chama kikuu mkuu apo CDM wajiangalie Mara mbili mbili wanaenda kuzikwa mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mbadala wa upinzani Tanzania,bado CDM ni chama kinachoaminika hasa kwa kuwa na viongozi wengi na shupavu!CDM ineondokewa na viongozi wengi lakini imesimama,CUF kuondoka kwa Maalim Seif kumeimaliza kabisaaa na wasubiri kuzikwa rasmi baada ya uchaguzi mkuu!ACT bado hawajaaminika kwa wananchi,ukija NCCR nao ndio hivyo wanajimalizia wenyewe!So CDM bado itaendelea kusimama!
 
Kila chama kina haki sawa ya kupambana ili kushika Dola na ikishindikana basi kiwe chama kikuu cha upinzani. Moja ya mikakati ni hii ya CHADEMA kuviponda vyama vingine na Kuwaita wasaliti
 
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Hakuna mbadala wa upinzani Tanzania,bado CDM ni chama kinachoaminika hasa kwa kuwa na viongozi wengi na shupavu!CDM ineondokewa na viongozi wengi lakini imesimama,CUF kuondoka kwa Maalim Seif kumeimaliza kabisaaa na wasubiri kuzikwa rasmi baada ya uchaguzi mkuu!ACT bado hawajaaminika kwa wananchi,ukija NCCR nao ndio hivyo wanajimalizia wenyewe!So CDM bado itaendelea kusimama!
Hata hivyo ilianza kuonekana jana, maongezi ta Mbatia na yuke Pumba ili dhihiri kuohyesha kabisa wako kazini kuisaidia Ccm. Mbatia kuita wanao taka kujiunga NCCR haiku shtua wanao jua siasa. Huyu ji mbunge wa viti maalum ana jukikana.

Ndio maana alinza kujitetea ila wajuzi wa mambo wanamjua. Lipumba yeye bdio usiseme. Hilo ni jembe la Ccm. Wao wenyewe Ccm wanajua kukiwa na UKAWA hata 20% ya kura hawata pata. Lakini hata uchaguzi uwe kesho, sio CUF wala NCCR wataona mbunge hata mmoja. Kura tunazo sisi sio Mbatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi chama cha siasa kinawezaje kuamini kuwa kinaweza kuongoza nchi huku HAKINA uwezo wa kuweka wagombea nchi nzima? Kama Mbatia au Prof. Lipumba ameahidi kuweka wagombea nchi nzima kwa udiwani na ubunge ni swala la kujivunia na sio kukebehi. Kama unalikebehi hili, basi wapinzani sahauni kuitawala Tanzania!!!
 
Hii ishu ni kweli Magu anataka kuua upinzani especially chadema baada ya 2020 ibakie NCCR na ACT ndio zenye wabunge wakuunga sera za CCM ili misaada ije na uchaguzi uonekane ulikuwa huru na haki...😢😰
 
Chadema itawakilishwa na mzee Mtei huko Ikulu , ni imani yangu utatupa mrejesho pia!
Endeleeni na kejeli za kipuuzi wakati kazi inayozuiwa kufanywa na Chadema ni ya kukutoa wewe mlala hoi hapo ulipo.
Nimeamini masikini wa akili ni hatari kuliko masikini wa mali,ona jinsi taifa linavyo vurugwa na wale tunaoona wana akili ndio washangiliaji wakuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom