nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Zito akifanya usaliti na mwaka huu ndiyo utakuwa mwisho wa maisha yake kisiasa.Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zito akifanya usaliti na mwaka huu ndiyo utakuwa mwisho wa maisha yake kisiasa.Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
Wewe ni mnyarwanda?Mmetafuta kilichozungumzwa Ikulu mmekikosa sasa mnaanza kutulisha matango pori. Watanzania kwa umbea mko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kikuu cha upinzani ni CDM,hivyo vingine viko ICU!Naona mbatia kapewa kibali kuzunguka nchi nzima kufanya siasa,tafakari!Kama Chadema ndo wangeenda Ikulu ingekuwa sawa lkn wameenda hawa wa vyama vingine imekuwa nongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia wamekubaliana kugawana nyara, mfano kuna madiwani wa Chadema huko Mbeya wamenunuliwa na CCM na wanapelekwa NCCR na Mbatia ndiye anawapokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hata nccr imesha Wai kua chama kikuu mkuu apo CDM wajiangalie Mara mbili mbili wanaenda kuzikwa mazimaChama kikuu cha upinzani ni CDM,hivyo vingine viko ICU!Naona mbatia kapewa kibali kuzunguka nchi nzima kufanya siasa,tafakari!
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
Hakuna mbadala wa upinzani Tanzania,bado CDM ni chama kinachoaminika hasa kwa kuwa na viongozi wengi na shupavu!CDM ineondokewa na viongozi wengi lakini imesimama,CUF kuondoka kwa Maalim Seif kumeimaliza kabisaaa na wasubiri kuzikwa rasmi baada ya uchaguzi mkuu!ACT bado hawajaaminika kwa wananchi,ukija NCCR nao ndio hivyo wanajimalizia wenyewe!So CDM bado itaendelea kusimama!Kumbuka hata nccr imesha Wai kua chama kikuu mkuu apo CDM wajiangalie Mara mbili mbili wanaenda kuzikwa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo ilianza kuonekana jana, maongezi ta Mbatia na yuke Pumba ili dhihiri kuohyesha kabisa wako kazini kuisaidia Ccm. Mbatia kuita wanao taka kujiunga NCCR haiku shtua wanao jua siasa. Huyu ji mbunge wa viti maalum ana jukikana.Hakuna mbadala wa upinzani Tanzania,bado CDM ni chama kinachoaminika hasa kwa kuwa na viongozi wengi na shupavu!CDM ineondokewa na viongozi wengi lakini imesimama,CUF kuondoka kwa Maalim Seif kumeimaliza kabisaaa na wasubiri kuzikwa rasmi baada ya uchaguzi mkuu!ACT bado hawajaaminika kwa wananchi,ukija NCCR nao ndio hivyo wanajimalizia wenyewe!So CDM bado itaendelea kusimama!
Endeleeni na kejeli za kipuuzi wakati kazi inayozuiwa kufanywa na Chadema ni ya kukutoa wewe mlala hoi hapo ulipo.Chadema itawakilishwa na mzee Mtei huko Ikulu , ni imani yangu utatupa mrejesho pia!