Sharobaro na tenga la samaki...

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,969
6,963
Haina kitu hii,usiisome imekosewa!He mbona huelewi usisome hii imekosewaaa!!mbona unaendelea kusoma!kalale bana, hapa hamna kitu!
 
mnh huku jukwaa la jokes machizi wanaongezeka kila siku kuna nini?
 
ni kama jana ulisahau kunywa hivyo vidonge then leo umekunywa double kufidia na jana. Title + Contents = Zero
 
Hivi uyo Arv hajarud wodin? Nimekumbuka tuliwah kupeka msaada kwa vichaaa pale milembe nikamwona analamba vidole kama toto!
 
Teh teh te he he, Hili ndilo jukwaa la UTANI,kama mnapenda siasa zenu msiingie huku.
 
Back
Top Bottom