Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 988
- 730
Kuna ukweli gani kati ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti yamemkuta akielekea tanga kwao?