Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 410
Kuna mtu anaweza kunisaidia nifanye nini ili nitumie modem ya celtel (sharkpod) kwa line ya vodacom! Kama kuna software yeyote inayoweza kuifanya hii modem itambue line ya vodacom na kukubali naomba mnijulishe. Thanks in advance