Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
FYI. Hakuna nabii anaitwa mwamedi, hivyo tutolee uongo wako.
Hivi unapata faida gani kukashifu imani za watu wengine? Je ni ushahidi gani utakao prove statement zako za kashfa? Jaribu kupunguza hisia zako za kilokole hapa. Tanzania ni nchi ya Amani na wananchi wake lazima waishi kwa kuheshimu imani za watu wengine.
Hivi huyu bwana kuitwa Mwamedi ni kashfa? Mbona mimi huwa naona anaitwa kwa matamshi mbalimbali: Muhammad, Muhammed, Mohamed, etc, hizo nazo ni kashfa? Kwani Muhammad mwenyewe aliheshimu imani ya nani? Si aliwaita makafiri wote wasiofuata mafundisho yake? Na hilo neno "makafiri" limeshafutwa kwenye Quran ya Muhammad? Oh, please, give us a break!