Sharia law ni za dini kama unazipenda nenda Afighanistan.
Sheria law siyo za kidini, ni muongozo wa kila mtu.
Huu ndiyo wakati wa kuweka Sharia Law ndani ya Tanzania. Mambo muhimu ambayo Sharia Law itayatatua haraka ni:
Mafisadi hawatakuwepo.
Rushwa haitakuwepo.
Let's do it.
Kama unaishabikia sana..kwanini usiianzishe nyumbani kwako?
Ndugu yangu usichukulie mambo kirahisi hivi..kuota ni kuzuri lakini.
If wishes were horses even beggers will............... malizia mwenyewe!
Huu ndiyo wakati wa kuweka Sharia Law ndani ya Tanzania. Mambo muhimu ambayo Sharia Law itayatatua haraka ni:
Mafisadi hawatakuwepo.
Rushwa haitakuwepo.
Let's do it.
kule iran mtoto aliiba mkate masikini bila hata kumhoji mtoto anatatizo gani, yatima au vipi eti sharia law mtoto akakatwa mkono, huu upuuzi sitaki kabisa kuusikia, wale royals wa saudi wakiwa nje ya nchi yao wanamega ma prostitute km kawa eti wakiwa saudi wanahimiza sharia. kule saudi mwanamke haruhusiwi kuendesha gari, mwanamke akibakwa yeye ndo anahukumiwa 12 lashes hadharani na si mwanaume, hivi kuna usawa hapa? anayetaka sharia law aende somalia au afghanistan
Huu ndiyo wakati wa kuweka Sharia Law ndani ya Tanzania. Mambo muhimu ambayo Sharia Law itayatatua haraka ni:
Mafisadi hawatakuwepo.
Rushwa haitakuwepo.
Let's do it.
Kwa familia yako na ya Mwamadi, huna haya we kuleta udini kila kona hapa JF.
Hivi waislam mmefilisika, lol