Shareholders Wasafi media kuna siku Diamond Platnumz atawagharimu mjitafakari

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao.

Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha Diamond Platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform.

Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama sio wote ni watu wa karibu wa diamond platnumz.
Media inacover sana matukio ya familia na wasanii wa wasafi..

Mashabiki wengi wa wasafi huwezi kuwatenganisha na diamond na watu wake..
Shida itakuja siku diamond akiamua kujitoa media itashuka.

Ni kitu kibaya sana kuendesha taasisi huku inakuwa dominated na mtu1 Siku akidondoka kila kitu kitadondoka..
Mfano mnajionea mawingu media.

Ni vema wawe makini wajenge taasisi imara isiyotegemea nguvu ya mtu1.

Siku inakuja haina jina shareholders watajuta wachukue hatua mapema.
 
Kama ilivyokua Ruge kwa Clouds fm, kila kitu kilikua yeye na akaikuza mpaka kufikia hapo, share holder wa wasaf wanataka wasaf ikue
 
Kama sio Diamond Wasafi ingekua kama media nyingine tu ambazo hazina market share kubwa. So wataangalia wanataka kipi Diamond awepo wapate wote au wastruggle kama wengine
 
Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao.

Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha diamond platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform.

Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama sio wote ni watu wa karibu wa diamond platnumz.
Media inacover sana matukio ya familia na wasanii wa wasafi..

Mashabiki wengi wa wasafi huwezi kuwatenganisha na diamond na watu wake..
Shida itakuja siku diamond akiamua kujitoa media itashuka.

Ni kitu kibaya sana kuendesha taasisi huku inakuwa dominated na mtu1 Siku akidondoka kila kitu kitadondoka..
Mfano mnajionea mawingu media.

Ni vema wawe makini wajenge taasisi imara isiyotegemea nguvu ya mtu1.

Siku inakuja haina jina shareholders watajuta wachukue hatua mapema.
They will cross the bridge when they reach it. Kwasasa bado
 
Wewe itakuwa unaishi shamba, Wasafi na clouds fm ni kama National na Panasonic ni kitu kimoja.

Mmiliki wa Wasafi ni Joseph Kusaga, Diamond amepewa share kwa malengo maalum ya kuwakamata vijana.
 
Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao.

Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha diamond platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform.

Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama sio wote ni watu wa karibu wa diamond platnumz.
Media inacover sana matukio ya familia na wasanii wa wasafi..

Mashabiki wengi wa wasafi huwezi kuwatenganisha na diamond na watu wake..
Shida itakuja siku diamond akiamua kujitoa media itashuka.

Ni kitu kibaya sana kuendesha taasisi huku inakuwa dominated na mtu1 Siku akidondoka kila kitu kitadondoka..
Mfano mnajionea mawingu media.

Ni vema wawe makini wajenge taasisi imara isiyotegemea nguvu ya mtu1.

Siku inakuja haina jina shareholders watajuta wachukue hatua mapema.
Inadaiwa pesa ndio kila kitu hasa ikilinganishwa na elimu. Hapo ni dhahiri kinachokosekana ni elimu ya wahusika.
 
Ila clouds bado imesimama siyo kwamba imepwaya baada ya Ruge sema saizi ina washindani Wasafi na efm
 
Back
Top Bottom