Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka Tax Invoice

Hyo ni huko kwa wenzetu kaka. Huku kwetu sisi tupo tayar kumtukana na kumsema vibaya mtu anayetutetea ili mradi tu tumuunge mkono mtu anayetaka sifa kwa maslahi yake. Yaan ni shida. Mpaka inafika watu wanaombea serikali ishtakiwe na wazungu ili kusiwe na mafanikio ya kimaendeleo kwa mpjligania haki.

Kweli ukitaka lawama dai chako.
Hii nchi ilishalaaniwa
Mtangazaji wa CGNTV aambaye ni mkaazi hapo Dar, alisema vijijini wananchi wamepigika sana na wanamuunga mkono Rais ila mjini Dar wananung'unika sana maana wengi maslahi yao yameguswa
 
Mambo tunayomfanyia Barrick kwa sasa dunia nzima ya wawekezaji it's a talk of town.
Watu wanaangalia jinsi tunavyomkomesha Barrick , tunavyoharrass wafanyakazi wake, tunavyoua thamani yake kwenye soko la hisa with just 'Sukuma land allegations'

Halafu kesho tuwafuate wawekezaji sijui na nyimbo gani,tuwaambie waje wawekeze?
Lazima wajiulize, kama tumeweza kuutendea hivi mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu?
Ivi maishani mwako ulishawai kujiuliza kwa nini kuna wanyama wanakula majani, wengine majani na nyama, wengine matunda na kuna wengineo wanawala wanyama wenzao

Basi ukipata jibu, ndio ujue kwamba sisi tuliliwa sana kipindi icho. Na sasa ivi tumepata wa kutupigania angalau. Kwa iyo acha kulilia lilia Wazungu ambao wanaona waafrika ni Nyani wasiositahiri kuwepo duniani
 
Back
Top Bottom