SHARE WATCH: WanaJF, Anyone Into Buying Shares Online?!

Jamani msaada kwenye tuta hapo... wazee wa uchumi!!

Mtu ana vilaki vyake (maana Tz ni vilaki tu) aweke fixed account au anunue hisa? Nirushie visentensei vichache tu vinisaidie kujua kupi ndiko kujanja... nafikiria ka"analysis" karahisi ili mie ambaye ndo hivyo tena hizo term za uchumi nazikiaga kwenye bunge hapa nielewe!
Mara hisa mara fixed acount,hee! Tusaidieni.

Siao.

Samahani lakini swali lako lipo too open, fixed accounts differ on the interest rates at different banks, hisa unataka kununua kwenye biashara gani au kwenye unit trust?? Zote zinatofautiana na hizo tofauti ndo zitakuwezesha kujua hela yako inaongezeka kiasi gani!! Please be specific and we shall try assist you.

Ps: Keep in mind kwamba Banks work in 'the interest' of its Shareholders and Creditors..Never i repeat Never in the interest of the account holder..when the going gets rough for a bank..kitu cha kwanza kwao kufanya ni kulipa madeni yao..
 
Hodi jamani!!!

Natumaini wooote mko makini hapa. anyway nimekuja na hoja moja hapa nikitaraji kupata ufafanuzi kwa namna moja ama nyingine.
kimsingi kuna kundi kubwa la watu ambao ni vijana yaani wenye umri wa miaka kati ya 25 na 45 hivi, ambao wako katika ajira yaani wana kipato lakini kipato hicho kwa kweli hakikidhi haja.
Lakini pia hawa watu hawafahamu ni namna gani wanaweza kufanya kuinua kipato chao ili kiweze kukidhi haja zao.
Sasa basi, hapa mpo watu ambao mna uelewa wa mambo na michango yenu inaweza kuwa ukombozi kwa watu wengi wa aina hiyo.
Kwa kutoa mawazo ya namna ya kufanya biashara ndogo ndogo, kununua hisa za makampuni mbalimbali,online biz na mambo meeengi memngineyo.
kwa kuwa nimetaja watu ambao wako katika ajira binafsi nadhani soko la hisa lita wafaa watu hawa, kwa kuwa muda wao mwingi wanakuwa katika maeneo yao ya ajira wakiwajibika.
sasa suala hapa wengi ikiwa ni pamoja na mimi katika hili hawafahamu utaratibu wa kununua hisa.
Ukiwa kama mwana forum wa jambo na una uelewa katika hili tunaomba mchango wako wa mawazo.
Tambua kuwa utawezesha wengi kupata uhuru wa kiuchumi na kuboresha maisha ya wengi wakati tukiendelea kukemea ufisadi ili pia kurekebisha njia hiyo pia.

karibu sana kwa mchango wako.
 
Jamani msaada kwenye tuta hapo... wazee wa uchumi!!

Mtu ana vilaki vyake (maana Tz ni vilaki tu) aweke fixed account au anunue hisa? Nirushie visentensei vichache tu vinisaidie kujua kupi ndiko kujanja... nafikiria ka"analysis" karahisi ili mie ambaye ndo hivyo tena hizo term za uchumi nazikiaga kwenye bunge hapa nielewe!
Mara hisa mara fixed acount,hee! Tusaidieni.

Siao.

Siao, swali zuri. Kulijibu nitasema hivi; kwanza kabisa hakikisha investment yoyote katika share au liba haizidi uwezo wako wa kimaisha. i.e. only invest what you can afford to lose.

Katika viwili ulivyovitaja kama options, mimi ningechagua shares. Sababu ni kama ifuatavyo: Hela kama hizo (tuvi laki) ni chache mno kusema unaweza kuwekeza kwenye fixed account kwa kutegemea liba kubwa hapo baadae. Fixed account zinategemea kiwango kikubwa sana kwa mazingira ya hapa Bongo na pia ni interest gani bank inalipa.
Sababu nyingine ya kuchagua share ni kuwa, pamoja na kuwa soko letu la share ni changa na changa kweli, uwezo wa kuwa na dividend kubwa katika share hapa Tanzania ni mkubwa zaidi maana soko ndiyo linaanza. Ukiachilia mbali hilo, kwa uchumi wa Tanzania kuna makampuni ambayo ni nguzo za uchumi wa Taifa, sidhani kama yanaweza kuteteleka kirahisi, na haya ndiyo ya kuwekeza.

Makampuni kama ya Cement, Bia, Banks na mengineyo kama haya yameonesha kukua maradufu katika kipindi kifupi tu. Kumbuka CRDB jinsi ilivyo anza na share zake zilivyo kuwa za bei ya chini wakati huo.... chunguza sasa na kuona walikofika.... pamoja na mambo ya ufisadi kuzingira nchi yetu na vitega uchumi vyake, lakini mafanikio kama ya CRDB an TBL kwa kweli yanatia matumaini.

Hivyo basi, mimi ningekushauri utuweke huto tu laki unatopata kwenye shares. Wacheck NICO naona wana-float-isha shares soon.

Nico kuorodheshwa katika soko la hisa la kuanzia Mei

2008-04-01 12:16:21
Na ITV Habari

Kampuni ya uwekezaji Nico itaorodheshwa katika soko la hisa la Dar es Salaam kuanzia mei tarehe 23 mwaka huu na hivyo kuongeza ufanisi katika huduma zake.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya uwekezaji nico Bw. Felix Mosha wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati ya kampuni hiyo katika uuzaji wa hisa zake.

Amesema kwa sasa wanunuzi wa hisa za Nico wanaruhusiwa kuomba mkopo katika benki za Exim, CRDB, FBME, NMB, CBA ili kusiadia ununuzi wa hsia zake ambapo kwa sasa imeongezea wateja wa niko hisa zake mara mbili kuwavutia zaidi.

Kampuni ya uwekezaji ya Nico imejiwekea lengo la kuuza hisa milioni 50 na kukusanya mtaji wa shilingi bilioni 15 katika mauzo ya hisa ya awamu ya pili.
  • SOURCE: ITV
NICO kuuza hisa milioni 50 kwa sh. 300 kila moja

2008-02-28 14:58:06
Na ITV Habari

Kampuni ya uwekezaji nchini- NICO, imejiwekea lengo la kuuza hisa milioni- 50 kwa sh. 300 kila moja na kuwavutia wananchi wengi zaidi kuwekeza katika kampuni hiyo.

Afisa mtendaji mkuu wa NICO Bw. Silvester Barongo, amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia awamu ya pili ya uuzaji wa hisa iliyozinduliwa hivi karibuni.
  • SOURCE: ITV
SteveD.
 
--- Turmoil katika masoko ya hisa na hii credit crunch inanitamanisha kurudia ununuaji wa hisa kwenye makampuni ambayo yameteteleka nayo!

--- BTW naomba kuuliza, je inawezekana kununua shares kwenye kampuni ambazo zimekuwa 're-nationalized' kama zile mbili kule US kwenye banking (Fanny Mae na Freddie Mac)? Je, kama yawezekana, kuna matatizo yoyote yale ya kuzingatia?
 
do you guys really want to buy stocks? au ndio mnataka insider dealings?

kama kifua mnacho then i wont mind spitting the game

for a start kama kuna mtu anataka kununua shares kwa sasa aanze na energy firms kama MITTAL STEEL, BHP na GAZPROM ...you wont go wrong...halafu who doesnt know kuwa oil prices zinakuwa overhyped na ma cartels?
 
GT, miye niko serious mkuu, leo hii nimecheck check kwenye msnmoney kuwinda zipi zinafaa. Sasa kama una 'utundu wako' wa inside dealing wewe tumwagie tu hapa jamvini. BTW, Mittal Steel wako kwenye energy au commodity - unaweza kutoa maelezo kwanini mtu achague huko haswa pale anapo lenga longterm investment badala ya shortterm? Maana gallon ya mafuta juzi hapa iliporomoka baada ya habari ya Lehman Brothers. Au ndiyo ma-cartels yenyewe hayo, hivyo huko nako hakuaminiki?!
 
hahahahaa..unataka nikupe tips au vipi?

screens1.jpg

I'm only placing trades for stocks that price at $5 and below. This way it can be affordable for you to buy and sell also. I want to prove to tp you kuwa you you can start with less than $500 trading...mfano tuseme nimenunua 100 shares of a company with the symbol ABC that is priced at $1.00. Therefore I would be paying $100 for 100 shares of ABC sawa? Usisahau kwa you have to pay a transaction fee from you broker. Cost za transactin yangu inaweza ikawa ni $5. So I'm paying a total of $105 for 100 shares of ABC.

Now lets say within a week's time the stock went from $1 to $1.40. Then you would have a $0.40 increase in ABC. Now you take that $0.40 and multiply that times 100 because you bought 100 shares. You have made a gain of $40 within a week. You made a 40% return on $100. That’s better than any interest rate you can find huo ni mfano mdogo naweza kukuambia kuwa wakati nina hustle in 2006 my first buy was 100 shares of HED Head H V. I bought it at $3.70. nilipenda the outlook of this stock for short term growth. So far after a while ilishot up to up to $3.85. $3.85 -$3.70 would have given me a $15 profit but I expect it to go higher. Here is a chart for it.
Symbol Search - HED
Continue to follow it this week.

My next buy was 100 shares of Immunomedics Inc. (IMMU) I bought it at $2.90. I'm at least expecting it to go to $3.40. I can clear $50 if it goes to $3.40.

IMMU - SharpCharts from StockCharts.com

My other buyilikuwani ni 100 shares za Mamma.com Inc. (MAMA) I bought this at $3.65 . I knew this one was going to run, but I didn't expect it to run this good. Right now it's breaking it's yearly high.
StockCharts.com

Anyway umeniuliza kuhusus commodities ...hakuna kitu ambacho nina regret kama kutokununua shares kwenye GAZPROM ambayo ni $250 billion dollar company that is likely to be valued in the trillions in just 10 years. my main reasoning back then ilikuwa kama kawaida — mismanagement, graft, poor strategy, etc. Lets say kama ningekuwa ninazo pesa back in the late 90's meltdown I’d have reaped good returns by 2000 or 2001,in short I wouldn’t have to work now. Even if I had bought some Gazprom in January 2005, it’d have been a good investment. (By then i had a very good contact in Russia ambaye as a Russian citizen, she have legal access to Gazprom’s locally traded shares as opposed to GDRs, hence the arbitrage opportunity — but non-residents can take part in it too.) With all my common sense, I’m sitting here biting my elbows.,,,by the way the word is Natural gas demand in Europe is projected to increase by 4% annually between 2007 and 2030, a total increase of more than 72% which is more than five times the 0.7 percent annualized growth in US and who is better placed kuuza hiyo gas zaidi ya GAZ PROM

Zaidi kama kuna nyeti zingine ni dropie PM then we can touch base

peace
 
The piece above is insightful, thanks buddy! Hapo kwa kweli inabidi kutafutana tu... Poa.
 
Boss...
Can you please tell me in Which stock exchange are you reguarly investing in ?

Because, I dont see a way to Invest in other stock exchanges other then DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE...If you are living in TANZANIA !

:(

Smak, jaribu E*trade financial, wanamatawi sehemu mbalimbali, as long as you're successful at registering, you should be able to trade on the respective markets irrespective of where you might be geographically. Give it a go.

Note: registration process can be a pain due to ever-increasing regulations, but mostly introduced to stave off sponsorship of terror related activities.
baadae and good luck.
 
binafsi napenda kuangalia angalia masuala ya kununua na kuuza share.
aidha mimi ni mmoa wa wale walioshawishika kutofautisha kati ya traders na investors. kwa maana hii basi investors ni wale wanaonunua shares na kuhold kwa muda mrefu na traders ni wale wanaofuatilia mwenendo wa soko wa siku hadi siku.

mimi nimevutiwa sana na kundi nililolitaa hapo juu kama investors. japokuwa mpaka sasa bado najifunza na kujitayarisha kabla sijaamua kuzama kwenye
hii game kikamilifu.

web site ambazo natumia kujifunzia haya masuala ni Fool.com: Stock Investing Advice | Stock Research
(jina likukatishe tamaa) na Morningstar
 
hahahahaa..unataka nikupe tips au vipi?

screens1.jpg

I'm only placing trades for stocks that price at $5 and below. This way it can be affordable for you to buy and sell also. I want to prove to tp you kuwa you you can start with less than $500 trading...mfano tuseme nimenunua 100 shares of a company with the symbol ABC that is priced at $1.00. Therefore I would be paying $100 for 100 shares of ABC sawa? Usisahau kwa you have to pay a transaction fee from you broker. Cost za transactin yangu inaweza ikawa ni $5. So I'm paying a total of $105 for 100 shares of ABC.

Now lets say within a week's time the stock went from $1 to $1.40. Then you would have a $0.40 increase in ABC. Now you take that $0.40 and multiply that times 100 because you bought 100 shares. You have made a gain of $40 within a week. You made a 40% return on $100. That’s better than any interest rate you can find huo ni mfano mdogo naweza kukuambia kuwa wakati nina hustle in 2006 my first buy was 100 shares of HED Head H V. I bought it at $3.70. nilipenda the outlook of this stock for short term growth. So far after a while ilishot up to up to $3.85. $3.85 -$3.70 would have given me a $15 profit but I expect it to go higher. Here is a chart for it.
Symbol Search - HED
Continue to follow it this week.

My next buy was 100 shares of Immunomedics Inc. (IMMU) I bought it at $2.90. I'm at least expecting it to go to $3.40. I can clear $50 if it goes to $3.40.

IMMU - SharpCharts from StockCharts.com

My other buyilikuwani ni 100 shares za Mamma.com Inc. (MAMA) I bought this at $3.65 . I knew this one was going to run, but I didn't expect it to run this good. Right now it's breaking it's yearly high.
StockCharts.com

Anyway umeniuliza kuhusus commodities ...hakuna kitu ambacho nina regret kama kutokununua shares kwenye GAZPROM ambayo ni $250 billion dollar company that is likely to be valued in the trillions in just 10 years. my main reasoning back then ilikuwa kama kawaida — mismanagement, graft, poor strategy, etc. Lets say kama ningekuwa ninazo pesa back in the late 90's meltdown I’d have reaped good returns by 2000 or 2001,in short I wouldn’t have to work now. Even if I had bought some Gazprom in January 2005, it’d have been a good investment. (By then i had a very good contact in Russia ambaye as a Russian citizen, she have legal access to Gazprom’s locally traded shares as opposed to GDRs, hence the arbitrage opportunity — but non-residents can take part in it too.) With all my common sense, I’m sitting here biting my elbows.,,,by the way the word is Natural gas demand in Europe is projected to increase by 4% annually between 2007 and 2030, a total increase of more than 72% which is more than five times the 0.7 percent annualized growth in US and who is better placed kuuza hiyo gas zaidi ya GAZ PROM

Zaidi kama kuna nyeti zingine ni dropie PM then we can touch base

peace

shukurani kwa mchango wako.

tatizo nilionalo kwa stocks zenye kuuzwa kuanzia USD 5.00 kwenda chini
ni kwamba ni rahisi sana kuwa manipulated na wajanja hivyo mshiriki lazima
uwe makini sana ili usiingie mkenge. hizi huwa naziita speculative stocks. aidha lazima nikubali pia kwamba kwenye hizi shares pia mtu unaweza kupata
bingo ukiwa na bahati.
 
Mie nasubiria mmoja wenu aseme kama anadili na shea za Gongo au Bangi. Maana items hizo hazishukagi bei; always profit........: )
Just to lightenup the discussion people..........
 
Back
Top Bottom