Share na wadau group za WhatsApp za kusaka ajira ndani na nje ya nchi


ZubeirAbusheikh

ZubeirAbusheikh

Member
Joined
Mar 26, 2014
Messages
33
Points
95
ZubeirAbusheikh

ZubeirAbusheikh

Member
Joined Mar 26, 2014
33 95
Mkuu naomba na mm niunge 0718000700
Weka namba yako hapa tukuunge
[/QUOTE]
 
T

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
404
Points
500
T

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
404 500
Kama una link au unajua group za WhatsApp zinazotoa matangazo ya kutafuta kazi na fursa zingine nzuri basi vyema kama ukashea na wadau wanaotafuta kazi/ajira.

Iwe ndani ya nchi au nje ya nchi. Pia hata kama kuna magroup yoyote mengine ambayo yanaweza kukutanisha wanaosaka either kama ni kazi au scholarships pamoja na mameneja, wakurugenzi na wengineyo basi tunaomba sana kama upo au unafahamu mtu aliye kwenye hizo groups basi sio vibaya ukasema na zaidi kama kuna kanuni na taratibu za hizo groups basi unazisema pia. Lengo ni kusaidiana pale inapobidi.

Karibuni sana.
tatizo watakuja watu wa forever living, aliance global n.k, but good idea
 
Bhudagala

Bhudagala

Senior Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
165
Points
225
Bhudagala

Bhudagala

Senior Member
Joined Sep 17, 2014
165 225
Wekeni tena link updated, iliyopo ni revoked!
 
lovenessy

lovenessy

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
135
Points
225
Age
27
lovenessy

lovenessy

Senior Member
Joined Aug 20, 2013
135 225
naomba niunganishwe na na mimi 0658607111
 

Forum statistics

Threads 1,296,167
Members 498,559
Posts 31,237,004
Top