Share na wadau group za WhatsApp za kusaka ajira ndani na nje ya nchi

M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
663
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
663 1,000
Wadau Mimi nimepata wazo moja.
Ni kwa nini wakati tunasubiria hyo link tusiunde group letu la WhatsApp ambalo litakuwa linahusu mambo ya kazi.
Yaani itakuwa mtu yeyote anayeona tangazo la kazi mahali analituma kwenye group.
Inawezekana ukaona kazi mahali ambayo pengine wewe haikufai lakini mtu mwingine ikamfaa kutokana na taaluma yake aliyosomea.
Kama mnaunga mkono point yangu Basi ni vema tukaanza mapema iwezekanavyo ili kusaidiana hasa wale ambao hatuna kazi kipindi hiki.
Tukipata wanachama kuanzia 50 na kuendelea itakuwa ni Jambo jema sana.
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,271
Points
2,000
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,271 2,000

Wazo zuri...

Ila pia tukipata na waajiri humo kwenye group hata 20 tu itapendeza sana
 
S

stieve

Member
Joined
May 19, 2018
Messages
9
Points
45
S

stieve

Member
Joined May 19, 2018
9 45
Wadau Mimi nimepata wazo moja.
Ni kwa nini wakati tunasubiria hyo link tusiunde group letu la WhatsApp ambalo litakuwa linahusu mambo ya kazi.
Yaani itakuwa mtu yeyote anayeona tangazo la kazi mahali analituma kwenye group.
Inawezekana ukaona kazi mahali ambayo pengine wewe haikufai lakini mtu mwingine ikamfaa kutokana na taaluma yake aliyosomea.
Kama mnaunga mkono point yangu Basi ni vema tukaanza mapema iwezekanavyo ili kusaidiana hasa wale ambao hatuna kazi kipindi hiki.
Tukipata wanachama kuanzia 50 na kuendelea itakuwa ni Jambo jema sana.
0713960000 unga hii namba kwa group
 
MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined
May 16, 2014
Messages
106
Points
225
MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined May 16, 2014
106 225
Idea nzuri sana... ila napendekeza kuwa lisiwe group lakuweka matangazo ya ajira tu. Bali iwe ni sehem yakupeana connection pia.

Ukipata fursa ambayo unaona inamanufaa kwako na inaweza mfaidisha na mwenzio. Basi share nasi. Au nifursa ambayo unahisi inamanufaa lakini hauna uwezo nayo labda kwakukosa mda au kwanamna yoyote ile vivyohivyo you may share to us.
#RestinpeaceDRmeng
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,271
Points
2,000
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,271 2,000
Tutayapatia wapi haya
Unicheki mzee baba, Kama vp utanitext ukipata link hio
Wazo zuri sana mkuu
Wekeni basi iyo link wadau
Yapo ila kuyapata sasa
Duh mbna shida
Good idea
Atakayefaniksha naomba anijulishe hata kwa inbox
Tunasubiri
0713960000 unga hii namba kwa group
Idea nzuri sana... ila napendekeza kuwa lisiwe group lakuweka matangazo ya ajira tu. Bali iwe ni sehem yakupeana connection pia.

Ukipata fursa ambayo unaona inamanufaa kwako na inaweza mfaidisha na mwenzio. Basi share nasi. Au nifursa ambayo unahisi inamanufaa lakini hauna uwezo nayo labda kwakukosa mda au kwanamna yoyote ile vivyohivyo you may share to us.
#RestinpeaceDRmeng
 
Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,889
Top