Share na wadau group za WhatsApp za kusaka ajira ndani na nje ya nchi


pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,271
Points
2,000
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,271 2,000
Kama una link au unajua group za WhatsApp zinazotoa matangazo ya kutafuta kazi na fursa zingine nzuri basi vyema kama ukashea na wadau wanaotafuta kazi/ajira.

Iwe ndani ya nchi au nje ya nchi. Pia hata kama kuna magroup yoyote mengine ambayo yanaweza kukutanisha wanaosaka either kama ni kazi au scholarships pamoja na mameneja, wakurugenzi na wengineyo basi tunaomba sana kama upo au unafahamu mtu aliye kwenye hizo groups basi sio vibaya ukasema na zaidi kama kuna kanuni na taratibu za hizo groups basi unazisema pia. Lengo ni kusaidiana pale inapobidi.

Karibuni sana.
 
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Messages
1,326
Points
2,000
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2015
1,326 2,000
Website zote za kazi hapa Tanzania..
Pembeni pale wana namba ya kujiunga na magroup yao ya kazi na ajira...
 

Forum statistics

Threads 1,296,166
Members 498,559
Posts 31,237,045
Top