Shangwe kutimiza post 200 leo

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Jamani leo nafurahia kutimiza post 200 kwenye michango mbalimbali ninayochangia ndani ya jamvi. Najua kuna wengi wana post maelfu lakini hawajafanya jambo kama hili, naamini hii ya kwangu itachukuliwa kama utashi wangu binafsi husiomuathiri mtu yeyote. Tafadhali tufurahi kwa pamoja ikiwa ni pamoja na kupeana ushauri nini cha kufanya ili kuendelea kuwa na michango yenye tija kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.
 
hehehe hongera sana mkuu Sipo ila kaza buti kazana mkuu usife moyo.
 
,,,,,,,,,,,,,nafurahia kutimiza post 200. ........ kuna wengi wana post maelfu lakini ................. tufurahi kwa pamoja ...............na kupeana ushauri
.

SIPO,
1. Tuko pamoja.
2. Hongera sana mkuu.
3. Wanaoongoza kwa post hadi sasa ni:-

Mzee Mwanakijiji
Nyani Ngabu
Bubu Ataka Kusema
Field Marshall ES
Mkandara
Kati ya hawa, wako wa kuheshimiwa sana.
4. Katika post zako 200, asilimia 9 umezianzisha mwenyewe,
5. Katika ulizozianzisha mwenyewe, asilimia 39 ziko kwenye
Mapenzi,mahusiano.
6. Ushauri:- Jitahidi usielemee mawazo yako kwenye fani moja.
7. Usitishwe na wana Jamii wenye post nyingi kwani kunapost nyingine ni
za malumbano na kukashifiana.Uchafu mtupu.Bora post chache zenye
nidhamu.
MWISHO: Hongera tena SIPO.
 
SIPO,
1. Tuko pamoja.
2. Hongera sana mkuu.
3. Wanaoongoza kwa post hadi sasa ni:-

Mzee Mwanakijiji
Nyani Ngabu
Bubu Ataka Kusema
Field Marshall ES
Mkandara
Kati ya hawa, wako wa kuheshimiwa sana.
4. Katika post zako 200, asilimia 9 umezianzisha mwenyewe,
5. Katika ulizozianzisha mwenyewe, asilimia 39 ziko kwenye
Mapenzi,mahusiano.
6. Ushauri:- Jitahidi usielemee mawazo yako kwenye fani moja.
7. Usitishwe na wana Jamii wenye post nyingi kwani kunapost nyingine ni
za malumbano na kukashifiana.Uchafu mtupu.Bora post chache zenye
nidhamu.
MWISHO: Hongera tena SIPO.

Nashukuru sana bwana Makyao, kwa ushauri wako, i will put it into practice man. Ila eneo la Mahusiano na mapenzi kwa kuwa ni eneo ambalo lina madhara makubwa sana kwenye jamii yetu. Halafu kimsingi nawaheshimu san hao wadau hapo juu Ngabu, Mwanakijiji, Mkandara, Field Marshall na wengine wengi, kwa michango yao yenye tija. thanks in advance Exaud
 
Nashauri pia pongezi ziwe zinatolewa kutokana na uzito wa hoja katika michango. Hivi, credits na rep power vinapatikanaje?
 
hehehe hongera sana mkuu Sipo ila kaza buti kazana mkuu usife moyo.

Naam Fidel80, nashukuru sana, kwa pamoja tutaweka mwelekeo mzuri wa maisha yetu na jamii nzima
 
Invisible and Lazy Dog thanks in advance my Seniors, you are the one changed my mind and join JF as contributer rather being a reader only as i have done for the past one and half year. We are together until there sustainable change in the society
 
Nashauri pia pongezi ziwe zinatolewa kutokana na uzito wa hoja katika michango. Hivi, credits na rep power vinapatikanaje?

Mziwanda umetoa ushauri mzuri sana, binafsi sitilii shaka uzito wa hoja zangu but this varies from one person to another. Hoja nzuri kwa Kibunango inaweza kumchefua Nyamayao. Thats why we tend to differ in sex, proffesional, age, height, weight etc, etc.
 
Nilikuwa na Shangwe siku niliyotimiza post 200 lakini leo nina furaha kufikisha posts hizo hapo. Namshukuru Mungu kwanza kwa wakati wote niliokuwa hapa, nimejifunza mengi sana hapa JF kwenye nyanja zote na nimepanua uelewa wangu kwa kiasi kikubwa sana hasa katika kusoma mambo na kuyajadili kwa mtazamo tofauti. Nimebadilika pia jinsi ya kuhandle watu wanaoboa na wanaofurahisha, kuchuja ushauri unaotolewa na watu mbali mbali na ili uweze kuwa na faida kwangu, familia yangu na na jamii kwa ujumla. Kusema kweli JF ni zaidi ya shule kwani kuna kila kitu ambacho mtu anahitaji ili awe mtu.
NB: Sijawahi kuwa na lengo la kuwa na posts nyingi sana hili nishangilie na lengo langu siku zote limekuwa kubadlishana mawazo na kushauriana pale ninapoweza. Nawshukuru nyote kwa ushirikiano na juhudi mnazozionyesha wana JF katika kuijbadlisha jamii. Ila shukrani za pekee ziwaendee marafiki zangu wote ndani ya JF na wale ambao tumekoseana hapa ndio mahali pa kuwaombea radhi, am very sorry
 
Hongera sipo post 1000 lazima kichwa kitakuwa kimechemka kiasi, post zako ni constructive na challenging keep it up, tutakupa ushirikiano ufikishe 3000 very soon
 
Back
Top Bottom