Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
Sina hakika kama Afisa elimu huyu ana akili timamuHuyu ndiyo anaitangazia dunia kuwa kumbe ni kweli Serikali inawabambikia kesi wakosoaji wake. Mungu ni mwema sana hata siku moja hajawaficha wanafiki na unafiki wao. Haya vijakazi wa chakubanga njoni mumtetee huyu mpumbavu mwenzenu.