SHANGWE : Afisa elimu Iringa awapagawisha wanaCCM, atabiriwa kula shavu kubwa wizarani

Huyu ndiyo anaitangazia dunia kuwa kumbe ni kweli Serikali inawabambikia kesi wakosoaji wake. Mungu ni mwema sana hata siku moja hajawaficha wanafiki na unafiki wao. Haya vijakazi wa chakubanga njoni mumtetee huyu mpumbavu mwenzenu.
Sina hakika kama Afisa elimu huyu ana akili timamu
 
Hadi sasa nimeamua KUENDELEA kutokuwa mwanachama wa Chama chochote, nitaendelea kuitumikia nchi yangu kwa juhudi na maarifa yangu yote. Ewe Mwenezi Mungu nisaidie" ila nitajiandikisha kupiga kura japo kura yangu haijawahi kushinda.
Kuna jamaa yangu ni mwalimu tena ni mchapa kazi kweli, wakubwa zake wamemwambia anaweza kupewa ukuu wa shule lakini ni lazima pia achukue kadi ya CCM, hivi ninavyoandika kadi ipo mkononi anasubiri nafasi!
 
Hii statement wakitokea watafasiri kwa lugha ya kingereza mabalozi wakielewa huenda itathibitisha bila shaka shutuma za wanaharakati/wapinzani. Nafikiri wakubwa wetu wafikiri kabla ya kusema.
Pia hii mifano ya kiumalayamalaya inatufelisha sana japo ni kauli ya kibabe. TUsihalalishe umalaya jamani. Mifano IPO mingi tu mizuri na inayoeleweka kirahisi.
View attachment 1181211

Mtu kama huyu akiendelea kubaki ofisini anaweza kusababisha wananchi kuchukua maamuzi magumu ,hii ni kwa sababu NGUVU YA UMMA ni kubwa kuliko ya Polisi au ccm
 
Elimu Elimu Elimu bado inahitajika
Kama walimu wenyewe ni wale waliopata matokeo ya mwisho darasa la upili basi hata huyo afisa wa elimu ni zao la wale wenye matokeo mabaya ya mwisho kabisa darasa la upili lakini amekaa kwenye ualimu kwa muda mrefu .Kwa maana hiyo haoni na hajui mshahara unatoka wapi na hajui kutofautisha serikali na Chama.
Nini kifanyike
Mfumo mzima wa elimu kwa jamhuri ya Tz unatakiwa kuangaliwa upya na kufanyiwa marekebisho makubwa kulingana na mabadiliko na mahitaji ya kidunia kwa wakati wa sasa.
 
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu

Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI

Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi
Jitu zima ovyo kabisa
 
Huyu afisa elimu mpumbavu kabisa,
Hajui mshahara unalipwa na nani hadi umri huu!!
 
Kuhusu waafrica kutokuwa binadamu kamili , nitafanya uchunguzi
Kwa haya yanayotokea kwenye nchi za kiafrika kuanzia Afrika hadi Afrika ya kati bado unahitaji kufanya uchunguzi ?

Mwafrika hata akizaliwa London ule uprimitivity bado unabaki kwenye damu yake.
 
View attachment 1181211

Mtu kama huyu akiendelea kubaki ofisini anaweza kusababisha wananchi kuchukua maamuzi magumu ,hii ni kwa sababu NGUVU YA UMMA ni kubwa kuliko ya Polisi au ccm

Mmh, is it true??

Kasema haya kwa mdomo wake huyu???

Aisee, kama ni kweli, basi kuna kitu hakiko sawa kwenye taifa letu.....

Tunahitaji kufunga na kumuomba Mungu hakika atuepushe na balaa linalotunyemelea....
 
Back
Top Bottom