SHANGWE : Afisa elimu Iringa awapagawisha wanaCCM, atabiriwa kula shavu kubwa wizarani

Huyu boya ajali ya tanker moro ilimuhusu
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu
Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI
Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi
 
Baba unachelewa mambo tayari uku leta mfumo wa chama kimoja tunyooke kabisaaaahhhhh kabla watu hawajaenda jela maisha
 
namfananisha na teja aliyechomoa betri la lori la mafuta

walimu TZ zaidi ya milion 9+
 
Unakuta baba yako karopoka ujinga kana huu.....
Kaaibisha familia yake...tena mbaya zaidi ni afisa elimu
 
Hivi mijitu kama hii ukikuta inapambana na Simba siunaweza kukaa Upande wa Simba.jpg

Mtu kama huyu akiendelea kubaki ofisini anaweza kusababisha wananchi kuchukua maamuzi magumu ,hii ni kwa sababu NGUVU YA UMMA ni kubwa kuliko ya Polisi au ccm
 
Huyu ndiyo anaitangazia dunia kuwa kumbe ni kweli Serikali inawabambikia kesi wakosoaji wake. Mungu ni mwema sana hata siku moja hajawaficha wanafiki na unafiki wao. Haya vijakazi wa chakubanga njoni mumtetee huyu mpumbavu mwenzenu.
 
**** sehemu kayatoa hayo,msimlaumu tu,MTOTO wako akila kwa watu usimchape ,inawezekana kwako hashibi
 
Back
Top Bottom