SHANGWE : Afisa elimu Iringa awapagawisha wanaCCM, atabiriwa kula shavu kubwa wizarani

Huyo mpuuzi ni bonge la msengerema. Ila waafrika huenda sio binadamu kamili. Waafrika ni jamii ya Primate iliyo force kuwa kama binadamu.

Waafrika sio binadamu kamili wala hilo sio wewe wa kwanza kuliongelea mkwa mfano Museveni anajua kilichoiukuta Libya na Gambia lakini bado anakomaa na madaraka ajui mwisho wake unaweza kuja kua kama Omar ali bashiru wa Sudani
 
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu

Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI

Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi

Huyu Afisa alikuwa anatania au serious ? Mana hiyo ni kesi kabisa ya kumpeleka mahakamani. Kubambikia kesi ndo JPM anapinga sana. Nguza yuko nje sasa. Leo we Afisa Elimu unazungumza kama mwanabavicha JF. Thats bad.
 
ccm imejaa watu wenye roho nzuri hata chalamila kuhusu kuchoma watu sindano za ukichaa alikuwa anatania,mabavicha ndiyo yenye roho mbaya,ila huyu mzee wana ccm tunamkubali kimyakimya katisha sana afisa elimu lazima ale shavu hata ukuu wa wilaya anagalau.
 
Kama kweli afisa elimu ametoa kauli ya namna hii, kama Taifa hili suala si kwa walimu tu bali inatudhihirishia kuwa hata raia wa kawaida akishabikia chama tofauti na CCM basi lazima azuliwe jambo baya. Watu wanatoa mawazo yao ki masihara sana juu ya kauli hii na wengine wamefurahi, lakini kama Taifa tulikofikia ni kubaya sana tena sana. Serikali inapaswa kuwakumbusha maofisa wao watenganishe siasa na utumishi wa umma, lakini kama serikali itashindwa kufanya hivyo, ipo siku hii nchi itafanana nchi kama Congo, Somalia, S.Sudani na nchi nyingine zenye machafuko yasiyo isha. Lakini mnapaswa kukumbuka kwamba nchi ambazo zinapitia/zimepitia kwenye machafuko matatizo yao yaliyowapelekea kwenye machafuko hayakuanza ndani ya siku moja au mwaka mmoja bali ni kutokana na visasi,manyanyaso, chuki na uhasama nk vilivyo jengeka mioyoni mwa wanyonge miaka nenda miaka rudi. Kama viongozi wanapenda raia wote wawe wana CCM nadhani uwezo wanao wa kufuta vyama vyote kikabaki chama kimoja tu. Lakini swali tunalopaswa kujiuliza, je ikitokea Watanzania wote ni CCM ni kweli kwamba , tutaleta huduma sawa kwa wananchi wote? Na kama tutashindwa kuleta usawa ni nini kitatokea ndani ya hicho chama? Mh Rais JPM binafsi nakubali sana utendaji wako lakini baadhi ya mambo tena ambayo si ya lazima kama kauli za baadhi ya viongozi wako zinaweza kukutengenezea Historia Chafu ambayo inaweza ikayafunika mema yote utakayo acha umeyafanya kwa Watanzani. Ningemuomba Mh Rais ajitahidi sana kuwadhibiti baadhi ya wateule wake ili aweze kutenda yaliyo mema atakayo weza kwa Watanzania kama lilivyo kusudi lake.
 
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu

Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI

Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi
Haki mbinguni bado hamjaelewa tu. Mtakuwa wagumu wa kuelewa hata lini?
 
Madhara ya wakina mama kuleta vi ben ten ndiyo yanayozalisha hii misemo. Inaonekana familia aliyokulia ilikuwa na shida.
 
Pale personal gain inapo override professionalism na wachache wanaita uzalendo kwa sababu wananufaika nayo, kazi ipo
 
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu

Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI

Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi

Zamani sis Wahehe tulikuwa tunajua vizuri sana jinsi ya kudeal na watu arrogant kama hawa....mnamkumbuka Mwamindi? Kleruu ni shahidi kuwa wajinga kama hawa hawana nafasi kwetu Iringa
 
Waafrika sio binadamu kamili wala hilo sio wewe wa kwanza kuliongelea mkwa mfano Museveni anajua kilichoiukuta Libya na Gambia lakini bado anakomaa na madaraka ajui mwisho wake unaweza kuja kua kama Omar ali bashiru wa Sudani
Kuna kitu nahisi hakipo sawa kwenye formation ya ubongo wa mwafrika.
 
Walimu wa nchi hii wana shida chungu nzima yeye badala yakushughulika kutatua matatizo yao kakalia kupiga mipasho ya ovyo.Hajui dunia inakimbia kwa kasi, naamini baada ya miaka 10 ijayo atakua kajichokea uko kijijini kwao uku hakuna atakayekua akimkumbuka anasahau cheo dhamana.
 
Naam ,baada ya yule mkuu bora kabisa wa mkoa kule mbeya ,kipenzi cha wana ccm bwana chalamila ambaye break ya kwanza baada ya kupewa dhamana ya kumuwakilisha Rais jijini mbeya alisema kipaumbele chake ni kumujondoa sugu kusema ya kwamba WANAOMPINGA MAGUFULI WATAPIGWA SINDANO ZA UKICHAA ,jamaa mwingine toka kanda hiyo ambaye ni afisa elimu naye ametoa kauli ya kishujaa iliyopokelewa vyema na wana ccm mtandaoni huku wengi wakimuomba muheshimiwa Rais ampe cheo wizarani ikibidi hata awe katibu wa wizara ya elimu

Mwanaharakati huyo wa kujitegemea na mzalendo toka iringa alisema....ANAYETOKA NA TAULO CHUMBANI KWA MAMA YAKO NDIYE BABA YAKO,HAIWEZEKANI WALIMU MLIPWE MSHAHARA NA SERIKALI YA CCM HALAFU MSHABIKIE UPINZANI,TUKIKUBAINI TUNAKUTAFUTIA HATA KESI YA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI UKAFIE GEREZANI

Ikumbukwe hata Rais Magufuli alishawahi kuwashangaa wakurugenzi wa wilaya na mikoa kwamba inakuwaje kwenye uchaguzi wanatangaza mpinzani kashinda wakati yeye ndiye anawapa mshahara na magari,ikumbukwe pia RPC wa Arusha aliwahakikishia CCM ushindi akwapigia na saluti na kuwasihi wasiwe na wasiwasi,HUO NDIYO UZALENDO TUNAOTAKA.View attachment 1180977
Ni mwendo wa kubatizana kwa moto kama hauchomwi sindano ya ukichaa basi utapewa hata kesi ya uhujumu uchumi
Nyerere alikuwa na akili sana kudhibiti
 
Back
Top Bottom