Shangaziiii! Njoo utuokoe tunapigwa!

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
985
1,000
Shangazi tunakuomba uje huku kutusaidia sisi shangazi zako tunapigwa.

Bei tulioambiwa kuuza, tumeuza pungufu. TUMEPIGWA!

Bidhaa tulizouza, zimerudishwa eti hazina ubora. TUMEPIGWA!

Hela tuliyolipwa, tunaambiwa turudishe. TUMEPIGWA!

Tunakulilia uje kutuchaidia chichi ndugu zako. Inategemea ntu na ntu, Mimi chikubali kurudicha hela wakati nilishaila. Akina Makwedo, Mtavala, Limbanga, Chunda, Lihumako na wengine wote wanalia.

Screenshot_20190223-101939.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom