Je, unaufahamu wimbo mpya uitwao Shangazi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,733
155,416
Kuna wimbo mpya umetoka unaitwa Shangazi.
Una mahadhi ya ki Mrisho Mpoto,
licha ya kuwa mwimbaji hayuko serious kama Mpoto.
Ameweka mzaha mwingi sana.
Clouds wanaupiga sana wimbo huo, je anayeimbwa kwenye huo wimbo ni nani?
 
acha kutuambia vitu without evidence,emm tupe japo vesi moja then tutajua kama umeimbiwa ww au mm,mzima lkn wiknd ilikuwaje?
 
mmh hata mie nimesikia wimbo wa shangazi, nikahisi ni moja ya viburubisho vya ze~komedi. Eti amesikia mziki unalipa naye mbioooooo......... kajikita. yetu masikio.. waangalie tu wasije tutia usaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom