Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

huyu ndege wa wapi mbona mzuri sana hivi au ndo aliyefananishwa na mke wa washawasha?
hongera mkuu km mkeo anafanana na huyu mwali au umuulize huyo bundi anayeongelea ni wa wapi?
Lookin good....
european_owl_1_467x313.jpg
 
Dahhhh
Samahani mkuu
Sijui kwanini ila kadiri
Ninavyosoma replay zako ni kama humpendi
Au hii story ni ya kutunga ..

Anyway kama ni kweli nampa pole mkeo.
Anahitaji msaada wako na upendo wako. .
sasa than ever before. Unamtihani mgumu
Wa kumfanya awe comfortable na mwili wake tena ..

Huyo shangazi yako mtafutie hata hoteli
Kwa sasa. .

The last thing you want ni mkeo ku loose
Self confidence. . Inaweza kuku peleka wee
Na familiar yako kubaya..

Kila lakheri ..
 
Shangazi yako nae mpana, jaribu kumfamisha shangazi yako kua hiyo ni mkeo na ndio ulie mchagua na unampenda kwa moyo wako wote,
na yeye akiwa kama shangazi ajiheshimu sababu huyu mkeo ni mwanamke kama yeye akamjibu maneno yasio faa atasema ametukanwa? mwambia awe mstarabu na ukizingatia yeye ni mtu mzima....
nitamfahamisha hilo ili alielewe.Nalog off
 
We kweli una vituko... Ile kesi yako na wife ya kumfulia dada wa jiran chupi imeisha? Ehehehe leo shangaz kamfananisha mkeo na bundi!...... Mhh story tu hizi bana..
ile kesi imekwisha,namaliza ile nakutana na hii nyingine.Nalog off
 
Dahhhh
Samahani mkuu
Sijui kwanini ila kadiri
Ninavyosoma replay zako ni kama humpendi
Au hii story ni ya kutunga ..

Anyway kama ni kweli nampa pole mkeo.
Anahitaji msaada wako na upendo wako. .
sasa than ever before. Unamtihani mgumu
Wa kumfanya awe comfortable na mwili wake tena ..

Huyo shangazi yako mtafutie hata hoteli
Kwa sasa. .

The last thing you want ni mkeo ku loose
Self confidence. . Inaweza kuku peleka wee
Na familiar yako kubaya..

Kila lakheri ..
hapana bibie kuhusu my wife wangu kwa kweli nampenda ila kisura kwa kweli ni mbaya,na lengo la kumuoa yeye ilim niwe peke yangu nisishee na wengine,nilikuwa na mwanamke aliyetikisia kitaa ilikuwa ni ugomvi daily ndio maana nikaamua kumuoa huyu ili kuepukana na mabalaa ya wapenda vizuri.Nalog off
 
nahisi hii story si ya kweli
hapana si ya kutunga,ila ni kweli kwa sura mke wangu ni mbaya ndio maana hapo sikumpinga shangazi ila aliponipayukia mbele yake ndicho kilichonikera,angetakiwa aniulize kwanini nimefikia hatua hiyo ningempa majibu.Nalog off
 
hapana bibie kuhusu my wife wangu kwa kweli nampenda ila kisura kwa kweli ni mbaya,na lengo la kumuoa yeye ilim niwe peke yangu nisishee na wengine,nilikuwa na mwanamke aliyetikisia kitaa ilikuwa ni ugomvi daily ndio maana nikaamua kumuoa huyu ili kuepukana na mabalaa ya wapenda vizuri.Nalog off

Swali ...
Unamtusi au niseme una mkashifu mkeo
Na hapo hapo wasema unampenda
haiingii akilini.. naomba unieleweshe
Ni upendo wa kivipi tu huo ??
 
Swali ...
Unamtusi au niseme una mkashifu mkeo
Na hapo hapo wasema unampenda
haiingii akilini.. naomba unieleweshe
Ni upendo wa kivipi tu huo ??
ni hivi unajiona wewe katika hiyo avatar yako? kwahiyo mtu akiniuliza wewe ni mzuri au mbaya mimi nitamjibu ya kuwa wewe ni mzuri kisura,lakini mke wangu kisura ni mbaya,hapa simkashifu ila naongelea hali halisi,na lengo la kumuoa ili niepukane na kushea mke wangu na wanaume wengine.kuhusu upendo kwa kweli nampenda sana my wife wangu bana.Nalog off
 
Unakubali kua wife wako mbaya? au ndio sababu hukutaka kumweleza shangazi yako alichofanya ni kosa? unampenda kweli huyo wife wako au unamchukulia kama mfanya kazi wako wa ndani?
hapa namaanisha kisura ni mbaya ila tabia kwa kweli siwezi kumfananisha na mashalugobe yote nilyowahi kupita.Nalog off
 
sidhani kama itakuwa rahisi kwa shangazi yako kumuomba msamaha wa moja kwa moja ila cha msingi kaa na shangazi yako umweleze wewe kama wewe hujapendezwa na kitendo alichofanya na yeye itakuwa ni rahisi kukuomba msamaha na utafikisha ujumbe kwa mwenza wako na baada ya hapo waweke pamoja na maongezi yawe ya kawaida. ...

muhimu inatakiwa kwanza shangaz yako ajitambue na atambue nini na kwa nini umefanya maamuzi
nashukuru kwa ushauri wako chanya,nitafanya hivyo.Nalog off
 
Nimesoma thread yote all in all hii story ya kutunga hamna kitu hapa,hakuna cha shangazi wala wife hata kama mkeo ni mbaya as you want us to believe sitaki kuamini kwamba shangazi yako ni mpuuzi kiasi cha kusema mkeo ni mbaya kama bundi mbele yake.Nalog off
 
huyo shangazi yako inaonyesha anakutamani wewe,
kama vipi mpe mahitaji yake arudi home,
kwanini kupeleka watu washamba kwenye nchi za watu.
hakuna shaka nitampa chaka alirudi uswazi haraka iwezekanavyo.NAlog off
 
Nimesoma thread yote all in all hii story ya kutunga hamna kitu hapa,hakuna cha shangazi wala wife hata kama mkeo ni mbaya as you want us to believe sitaki kuamini kwamba shangazi yako ni mpuuzi kiasi cha kusema mkeo ni mbaya kama bundi mbele yake.Nalog off
mimi ndugu yangu sina uwezo wa kukuaminisha ya kuwa ndio au hapana akili yako itakavyokutuma basi endelea kusimamia kila unachokiamini.Nalog off
 
Usihangaike na shangazi; yeye sio mwenye kupitisha vigezo vya nani uoe nani usioe; bali wewe tu; so kama umeridhika hata kama ana sura kama yangu hapo kwenye avata.weye kula ile roho yako inachopenda
 
Back
Top Bottom