Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa kushiriki Tendo la Ndoa na Bwana Harusi Mtarajiwa

ulisa wahi? unafanya zinaa? hiyo haifai , tafuta mke, kama hujui kutongoza Dar kuna wenzetu kutoka Dodoma wamejipanga mabara barani wanaomba, ukimchukua yule ukamwogesha mke tosha kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸ™„
 
ulisa wahi? unafanya zinaa? hiyo haifai , tafuta mke, kama hujui kutongoza Dar kuna wenzetu kutoka Dodoma wamejipanga mabara barani wanaomba, ukimchukua yule ukamwogesha mke tosha kabisa
Mara mbili tu nilionja hahahaaa kilikua kijeuri hicho hatari hakitaki staili yeyote zaidi kifo cha mende miguu juu , mvi mpaka uvunguni hahahaaaa never try it again.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mara mbili tu nilionja hahahaaa kilikua kijeuri hicho hatari hakitaki staili yeyote zaidi kifo cha mende miguu juu , mvi mpaka uvunguni hahahaaaa never try it again.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ™„πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hii inatokea sana huko Uganda kwenye kabila la Banyankole

Bwana harusi kabla hajamuoa Bibi Harusi anapimwa urijali wake na shangazi yake Bibi Harusi, akikutwa yupo rijali yaani yupo njema anapewa ruhusa ya kuoa biharusi πŸ™ˆ

Sasa swali linakuja, kama Shangazi yupo vizuri kwenye Mauno, bwana harusi hatorudi tena Kwa shangazi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na je Biharusi anapimwa na nani Hali yake?!

Wabanyankole huko Uhanda wametisher kuliko Corona πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 1444480
Kipindi hicho mme wa shangazi anakuwa wapi? Au huko wanaume hawana wivu?
 
Back
Top Bottom