Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa kushiriki Tendo la Ndoa na Bwana Harusi Mtarajiwa

Je unaruhusiwa kuchagua ni shangazi yupi kati ya wote?

Na mumewe shangazi anakuwa wapi?

Na kama wewe ndio shangazi pekee wa mabinti saba kuna stimulus package yeyote unapewa?

Na kwakuwa at some point bibi harusi nae atakuwa shangazi, je nae atatumika kama kipimio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee WA familia wanayo katiba ya matumizi ya shangazi
Ngoja kwanza uoe kwao haya maswali yoooote utajibiwa 🏃🏃🏃
 
Na mume wa shangazi anakubali hilo?
Huko sio mahali pa kwenda kuoa, maana ipo siku mkeo atakuwa shangazi wa mtu mwingine na mkeo ataishia kupigwa miti kimasihara.
 
Hii inatokea sana huko Uganda kwenye kabila la Banyankole

Bwana harusi kabla hajamuoa Bibi Harusi anapimwa urijali wake na shangazi yake Bibi Harusi, akikutwa yupo rijali yaani yupo njema anapewa ruhusa ya kuoa biharusi 🙈

Sasa swali linakuja, kama Shangazi yupo vizuri kwenye Mauno, bwana harusi hatorudi tena Kwa shangazi? 😂😂😂😂

Na je Biharusi anapimwa na nani Hali yake?!

Wabanyankole huko Uhanda wametisher kuliko Corona 🙈🏃🏃🏃🏃😂😂😂

View attachment 1444480
Kwan hao mashangazi wanakua hawajaolewa au?. Na kama wameolewa waume wanakua na hali gani wake zao wakiliwa kwenye majaribio
Ukute shangazi ni mmoja alafu ana ndugu kibao wa kiume na wengi wamezaa watoto wa kiume, ataliwa mpaka akome kuwa shangazi na mme wake atajuta kumuoa
 
Aisee
 
Shangazi hatoshi kabisa, hapo waongeze na dada mtu, binamu , mamdogo na jirani mmoja mwenye matako makubwa si unajua shahidi mmoja lazima awepo.😆😆😆
 
Back
Top Bottom