..............
Shamsa Ford: Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?View attachment 29815
Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"
View attachment 29815
Kaka huu msemo si ule wa filamu ya zawadi ya birthday iliyofanywa na jb na rich au?na hayo majina ndio yaliyotumika ktk hiyo movies dick na austine?ufafanuzi kidogo mkubwaShamsa Ford: Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?View attachment 29815
Kaka huu msemo si ule wa filamu ya zawadi ya birthday iliyofanywa na jb na rich au?na hayo majina ndio yaliyotumika ktk hiyo movies dick na austine?ufafanuzi kidogo mkubwa
...Halafu mtu unaoa huyu wakati anaona ni halali kuwa na mabwana wawili na kuwapangia zamu! Kha.
Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine (Mchumba namba 1). Dick (Mchumba namba 2) ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"View attachment 29815
Mnatumika mnooo ndo maana tunaogopa kuingia mikenge
kagonganisha wachuma mabuzi? maana ukisema wachuma ina maana mmoja wao alitaka kuowa au wote walitaka kumuowa. mwanamke wa kuolewa hawezi kuwa huyu
Ni kosa la jinai kwa Dick kutaka kujisevia toto hili peke yake inabidi akubali kushea 'kizuri kula na wenzio', hahaha!Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine (Mchumba namba 1). Dick (Mchumba namba 2) ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"View attachment 29815