Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Ng'onda ni nini?
Ni samaki fresh aliyeoza akawa hafai ukiwa, akatiwa chumvi nyingi na kukaushwa kisha baada ya kukauka anafaa tena kuliwa na anakuwa anafaa tena Sana. Huwa ana pungent or irritating odour and smell.
 
View attachment 1262973
Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford

Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford, amesema kutokana na uzuri alionao, anaamini mwanaume anayetaka kumuoa kwa sasa anapaswa kutoa mahari ya shilingi Milioni 20.

Shamsa Ford ametoa kauli hiyo katika kipindi cha KIKAANGONI, kinachorushwa kila siku ya Jumatano katika kurasa za Facebook na YouTube za East Africa TV, ambapo amesema kwa mwanaume anayetaka kumuoa aende na gari lililoandikwa 'Will You Marry Me'.

Shamsa Ford amesema kuwa "mtu akitaka kunioa sasa hivi, naangalia kwanza mfuko wake ukoja ila ninachotaka mimi siku ya kwanza kuja kunipa ombi la kunioa aje na gari lililoandikwa Will You Marry Me,"

"Unajua mimi ni ninastahili mahari zaidi ya Milioni 10 au Milioni 20 kwa sababu mimi ni mzuri, na mtu akinipata mimi maana yake amepata mtu mwenye vigezo vya kuwa mke bora, najua kupika najua kulea familia." amesema Shamsa Ford.

Aidha katika kipindi hicho Shamsa Ford, amesema hakumbuki chochote kwa aliyekuwa mume wake Chid Mapenzi wakati wakiwa kwenye mahusiano, bali anayemkumbuka ni Msanii Ney wa Mitego ambaye alikuwa na tabia ya kununa kwenye mahusiano.

Chanzo: EATV

Ney wa Mitego hata Milioni Tano alikuwa hana, sasa Mil 20 imefikaje? Na Ney amekula kila kitu.......
 
Unaoa kwa milion 20, una kaa na mke hata miezi 12 haifiki!!! Nabii tito uje kuchukua muumini wako,
 
Harufu mbaya ile wanayotoaga wanawake wachafu ukeni.
Huwa siyo sababu ya uchafu ni ka aina fulani ya bacteria ambako hupelekea uke kutoa harufu kama ya samaki aliyea haribika, huwa harufu haitoki asipopatiwa tiba yake.
 
Nani wa kutoa hiyo 20M+? Kwa kipi hasa? Kwa uzuri UPI? Mfupi,mnene,mweusi,kazalishwa,wanadai ana ng'onda,kaachika zaidi ya Mara mbili..!! Kaishiwa hana jipya so hizo ni business strategies tu
Ng'onda ndyo nini mkuu.??
 
Huwa siyo sababu ya uchafu ni ka aina fulani ya bacteria ambako hupelekea uke kutoa harufu kama ya samaki aliyea haribika, huwa harufu haitoki asipopatiwa tiba yake.
Huwa ni maradhi ya zinaa tu, na wengine washakuwa chronic maana wanabadili wanaume kama vyupi vyao kwanini asinuke
 
Angeenda kuolewa uarabuni hiyo pesa ndogo sana kwao, kibongo bongo plus background yake lol atasubiri sanaaaaaa.
 
Back
Top Bottom