Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Kwanza kilomita zimeenda
Alafu ashapigana vita vingi
Hiyo mahari Labda kumlugaluga Atoke huko
Mpitimbi ndiyo aitoe

Ova
 
Huyu mrembo ananivutia Sana, sema ndio hivyo tu.... huyu angenifaa kabisa sema nimeshachelewa.
 
Back
Top Bottom