Shampein (champagne) yaumbua wazazi wa maharusi

Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.
 
Mie nafahamu wazi, kuna watu wengi humu JF hawajawahi fungua Champagne...
Acheni kudhalilisha wazazi na vitu sio vya maana.
 
hvi hao nao walianzaje kuwapa hao wabibi wa watu kufungua champagne, kama sio kutaka kuwadhalilisha
 
Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.
kwanza harusi za kisukuma huwa wana "fuhwa" bibi harusi anamwagiwa mtama mweupe uliosafishwa vizuri na bwana harusi napakwa siagi kuashiria baraka za utajiri wa ng'ombe, hayo mapombe ya putin ni ushamba tu, usijekuta hao wamama ni walokole mumewanajisi tu,
 
Nimeamini washamba hawaishi mjini. Duh unaweza sema comedy.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom